Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
huwezi kwasababu sio Mwanaume wewe..
Ukiyafikilia ya chumbani ni hatari, watu mafundi mama unatamani uwe unashinda nyumbani tu.. Ukijinyoosha tu unalazwa chini inapigwa massage, mwanga mdogo, mafuta ya nazi au machicha ya nazi, kamziki kwambali..baada ya hapo abdala kichwa wazi anasagwa kichwani mdogo mdogo hahahaahaahahaha lazima umnunulie mama Harrier latest version au kitu cha Audi Q7.. HAHAHAHHA dunia tamu asikwambie mtu..
🤣🤣🤣🤣nyie hamnaga raha nyinginr zaidi ya hayo makitu asalaale!heshima yako mkuu😉
Marehemu kaniudhi sana.Ila wanaume mna shida sehemu !mtu umekutana naye ukubwan ujinyonge? Hapana aisee!
Asikudanganye mtu mama, furaha ya Mwanaume rijali ipo hapo kwenye hiyo burudani.. Dunia ikikuvuruga ukawa nyumbani unamtu anayeelewa haya mambo basi maswahibu yoote utayaona sio lolote na ni yeye tu atakayeshusha stress zote..
Alafu mnatusingizia sisi wanyalu tunajinyonga!
. Sisi tunajinyonga kwa ishu complicated siyo kwa huo ujinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi na nyinyi mnaumia mkisalitiwa kama sisi?wanaume mapenzi yanawamaliza sana inaonekana mnaumiaga sana kusalitiwa lakini nyie mkiwa mnasaliti hamuumii maskini poleni sana
Huo usingizi Mungu aniepushie mbali.Mzembe sana jamaa unalalaje mpaka mtu kaondoka usikii wala hustuki??. Mwanaume lala kimachale shenzi.
Huyo sio mke,ni katili na angeweza haya kumuua. Marehemu alichokosea ni kukaa na kiungulia cha uchungu moyoni bila kuomba ushauri.Mke anatoroka yeye akiwa kalala?atakuwa mlevi Huyo,na inawezekana mke ndio ilikuwa mchezo wake anatoroka na anarudi anakuta jamaa bado kalala.
"Alisema kabla ya kujinyonga alikuwa amelala na mkewe alipo shtuka usingizini alikuta mke wake ametoroka na kwenda kwa mwanaume mwingine ndipo alipokasirika na kupatwa na wivu wa kimapenzi na kuamua kujinyonga"
Mkewe ndiye kashuhudia hayo? au walimuuliza marehemu? maana muelezeaji ni kama alikuwepo.
Kupenda kwingine kubayaIla wanaume mna shida sehemu !mtu umekutana naye ukubwan ujinyonge? Hapana aisee!
Nawaambiaga wanaume tutafute pesa ndio mfariji ukiwa na umri mkubwa sasa huyo fadha usikute hakuwa na pesa ya kutosha ko alikuwa anapata faraja kwa mwanamke maana ukiwa na pesa unajitafutia jimama unalikaza mwanamke akikuzingua unatimua sio kujinyonga au kujibembeleza uonewe huruma,mimi sinaga ujinga wa kumpa mwanamke nafasi kwenye akili na moyowanaume mapenzi yanawamaliza sana inaonekana mnaumiaga sana kusalitiwa lakini nyie mkiwa mnasaliti hamuumii maskini poleni sana
Watu dizaini hii lazima ujinyonge,nashukuru Mungu hajaniumba kupenda mwanamke kwa sijui kukata kiuno mara masage and the likes lakini pia nilishaiweka akili yangu kwa tahadhari napoishi na mwanamke or anything kwamba anytime t naweza kumbana na jambo lisilotarajiwa kutoka kwa mwanamke simply ni binadamu ko in case it happen nakuwa na uwezo wa kuikabili pressure unlike wengine wanajinyonga wanaanza kuwa walevi na kuvurugika maisha etchuwezi kwasababu sio Mwanaume wewe..
Ukiyafikilia ya chumbani ni hatari, watu mafundi mama unatamani uwe unashinda nyumbani tu.. Ukijinyoosha tu unalazwa chini inapigwa massage, mwanga mdogo, mafuta ya nazi au machicha ya nazi, kamziki kwambali..baada ya hapo abdala kichwa wazi anasagwa kichwani mdogo mdogo hahahaahaahahaha lazima umnunulie mama Harrier latest version au kitu cha Audi Q7.. HAHAHAHHA dunia tamu asikwambie mtu..
Huyo mwanamke anaroho ngumu kama mfalme wa burigiIla wanaume mna shida sehemu !mtu umekutana naye ukubwan ujinyonge? Hapana aisee!
Inauma ngoja na mimi nilale alafu ntashtuka usiku.nikimkosa ata kama kaenda uani najipiga kitanzi nimpe escort jamaa sisi wanaume tunapendana sanaIla wanaume mna shida sehemu !mtu umekutana naye ukubwan ujinyonge? Hapana aisee!
Inauma ngoja na mimi nilale alafu ntashtuka usiku.nikimkosa ata kama kaenda uani najipiga kitanzi nimpe escort jamaa sisi wanaume tunapendana sana