mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,385
- 2,460
Sawa mnyalukolo, ndauli[emoji28][emoji28]Alafu mnatusingizia sisi wanyalu tunajinyonga!
. Sisi tunajinyonga kwa ishu complicated siyo kwa huo ujinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mwanamke anaroho ngumu kama mfalme wa burigi
Zamu yetu,inayokuja ya kwenu,siku hizi hatuchekani...Ila wanaume mna shida sehemu !mtu umekutana naye ukubwan ujinyonge? Hapana aisee!
Nadra sana kusikia mwanamke kajiua kisa mapenzi..wanawake wana ukatili kwa watoto zao..kwanza ukiona kajiniga jua yuko under 30!bado mtoto!kwamba ajiue kisa men hapana aisee!mlivyo wengi hvyo jaman🤒Zamu yetu,inayokuja ya kwenu,siku hizi hatuchekani...
Ila wanaume mna shida sehemu !mtu umekutana naye ukubwan ujinyonge? Hapana aisee!
😋😋😋😋Mwanaume ana Dudu refu wewe huna, so tofauti ni nyingi!
Kwanini tusiumie mkuu. Tunaumia ila ki uumbaji mwanamke sio sawa na mwanaume sio kimaumbile tuu bali hata hisiaHivi na nyinyi mnaumia mkisalitiwa kama sisi?
.sisi tukilia tu bas imetoka!Kwanini tusiumie mkuu. Tunaumia ila ki uumbaji mwanamke sio sawa na mwanaume sio kimaumbile tuu bali hata hisia
Mkuu kuna kitu mnatufanyiaga wanaume, huyo tusimcheke wala tusimhukumu, kafa kihalali.Ila wanaume mna shida sehemu !mtu umekutana naye ukubwan ujinyonge? Hapana aisee!
Nimecheka kwa sauti.huwezi kwasababu sio Mwanaume wewe..
Ukiyafikilia ya chumbani ni hatari, watu mafundi mama unatamani uwe unashinda nyumbani tu.. Ukijinyoosha tu unalazwa chini inapigwa massage, mwanga mdogo, mafuta ya nazi au machicha ya nazi, kamziki kwambali..baada ya hapo abdala kichwa wazi anasagwa kichwani mdogo mdogo hahahaahaahahaha lazima umnunulie mama Harrier latest version au kitu cha Audi Q7.. HAHAHAHHA dunia tamu asikwambie mtu..
Ngoja na mimi niji condition,mtu akinitenda tu ntakuwa nalia,maana kuishi kutamu jamani....sisi tukilia tu bas imetoka!
Stamzika mwenyewe wakati kagusa sharubu za Siro?Haaaaahaaa! Huyo kaonja vya kuonja!chezea [emoji97][emoji97][emoji97][emoji97]..akashindwa vumilia had asbh[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji104][emoji104]!atamzika mumewe akiwa mwspesiiiiiii[emoji18]!
Mkuu kuna kitu mnatufanyiaga wanaume, huyo tusimcheke wala tusimhukumu, kafa kihalali.
Kupendwa haisumbui, utacheka, utaringa utakavyo na unaweza ukalitumia neno 'sitaki' kiurahisirahisi upendavyo,lakini likija suala la wewe kupenda sasa!
Utanyanyasika na utakwama mazima kama ndege mjanja anasavyo kwenye mtego wa usinga!
Hivi mkuu pitapita zako haujakutana na mtu akakutamkia....Akiyamungu ukiniacha najiua'...., haujawahi kutamkiwa ivo!
Wengine huropoka hayo huku wakimaanisha ukweli wa udhaifu wao.
Halafu hauwezi kupenda mtu ukiwa mtoto.
Huyo hata msibani haendi watamtoa roho ndgu wa mumeHaaaaahaaa! Huyo kaonja vya kuonja!chezea [emoji97][emoji97][emoji97][emoji97]..akashindwa vumilia had asbh[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji104][emoji104]!atamzika mumewe akiwa mwspesiiiiiii[emoji18]!
Sawa pamoja na hayo lakini huwezi kuchukua uamuzi wa kujiua kwa sababu umesalitiwa na huyo unayemsema yupo nachro.Yes na hao wa vijijini wapo nachulo...kitu hakina mambo ya miski sijui maspray ya k mara vurugu gan![emoji6][emoji6]! Ngoma lazima ikeshe!ila sijajiua bado
Ni wanaume wa mikoani tu ndo wanatabu leo maeneo ya Bunju niliona mwanmke na mwanaume wanatandikana barabarani nilitamani nisimame nikajue kilichojiri hahahaIla wanaume mna shida sehemu !mtu umekutana naye ukubwan ujinyonge? Hapana aisee!
Asili inatukinga ndo maana hakuna mitala kwa mwanamke awaye yeyote toka enzi na enziwanaume mapenzi yanawamaliza sana inaonekana mnaumiaga sana kusalitiwa lakini nyie mkiwa mnasaliti hamuumii maskini poleni sana