Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

Boss, najua kila mtu ana changamoto zake lkn kwenye hili jambo la kutokuwa na namba ya nida aisee kwangu mm ni uzembe wa hali ya juu kabisa hasa kwa kijana ambaye unataka kazi.

We jamaa hizi nafasi lazima upate aisee, la sivyo utateseka mno.
 
Ndo maana nimekuambia tulia,, hv we ni wa wapi..?
Mabilionea wanahaha kwenye website ya ortamisemitz kusaka fursa za Ualimu.....Achana na standards za mtandaoni...watu Wana msoto nyuma ya Keyboards huko....sema huwa wanajiliwaza tu kuwaponda walimu walioko field
 
Hiyo ni 2021/22 ,bado kuna ajira za 2022/2023 by next year mwezi kama huu Soma hapo 👇

 
Naombeni msaada

Taratibu za kufanya ikiwa jina limekosewa kwenye kitambulisho cha taifa yaan lipo tofauti na kwenye vyeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…