Tukiwaambia JPM aliharibu nchi nyie sukuma gang muwe mnaelewa. Chukumia mfano tu huu am ambapo JPM miaka yake yote haajiri Wala kupandisha madaraja lakini kila siku anatupiga fix eti tuko uchumi wa kati.
Sasa angalia madhara yake karundika magraduates mtaani kiasi ya kwamba mama anastrugle sana angalau kuwapa ajira kwa kupanua wigo wa private sector kwa kuwawekea mazingira mazuri mazuri pasi na yule bwana anawafukuza tu eti wezi huku watu wanakufa njaa.
Yaani angekuwepo mpaka Sasa maana yake ingekuwa disaster ilifikia hatua ambapo graduate analipwa laki moja kisa ushindani ni mwingi sana kazi moja applicants mia.
Tunamshukuru Mungu anagallau tunaona mwanga mbele slowly tutarudi enzi za JK ambapo walimu na madaktari wote walikuwa wanaajiriwa bila shida na bila kunakiza mtu