Haya ni mawazo ya ccm kuwahadaa watz.Mkuu swala la ajira ni janga la dunia nzima! Hata angekuja Rais gani.
Mimi nadhani serikali ifikirie kuwakopesha mitaji graduates ili wajiajiri.
Haiwezekani nchi haina viwanda vya kutosha,Raslimali za nchi na vyanzo vingine vya mapato viko mikononi mwa wageni (Wawekezaji wa kigeni),harafu ,tutegemee eti itaajiri graduates wote!
Mkuu usiniparue na makucha,hayo ni maoni yangu!