Yule mtu wenu alikuwa hamnazo aisee, private sector aliua, Serikalini aliacha kuajiri, mtu ukijiajiri TRA wanakukamua unarudi kuwa chinga.
Mbaya sana hii aisee,hizi mambo zinaweza kukupa unemployment rates na hapo ni kada mbili tuu za Afya na Elimu.
JK alianza kujenga uchumi mzuri wa watu kuanza kujiajiri lakini Jamaa aliharibu Kila kitu, sasa mama ana struggle kujaribu kuwaaminisha Vijana kwamba Kuna maisha Kwa kujiajiri Kwa kuwarahisishia mazingira ya kufanya biashara.
Yule jamaa yenu bora alikufa aisee,watu wangeanza kukimbia Nchi kama Ethiopia au huko Western na kufa njiani.