Ajira elfu 13 mpaka Sasa maombi ni laki nne

Naomba kujiajiri liwe suala la kipaumbele kuliku kuajiriwa
 
Mkuu swala la ajira ni janga la dunia nzima! Hata angekuja Rais gani.
Mimi nadhani serikali ifikirie kuwakopesha mitaji graduates ili wajiajiri.
Haiwezekani nchi haina viwanda vya kutosha,Raslimali za nchi na vyanzo vingine vya mapato viko mikononi mwa wageni (Wawekezaji wa kigeni),harafu ,tutegemee eti itaajiri graduates wote!
Mkuu usiniparue na makucha,hayo ni maoni yangu!
 
Kikwwte aliwezaje sasa
 
Shule zipo nyingi sana na walimu hamna. Kwa hiyo swala ni mipango tu na kupata rais mwenye akili
 
Swala la ajira haliwezi tatuliwa na serikali tu, wengine kalimeni
 
Swala la ajira haliwezi tatuliwa na serikali tu, wengine kalimeni
Huna akili. Moja ya kazi za serikali ni kuwapa ajira vijana upon needs. Leo hii nenda mashuleni walimu hamna ila serikali ya jpm ilitaka wanafunzi wajisomee wenyewe tu
 
Wanakuambia---nendeni mkalime

Wanajibiwa---tukalimie meno [emoji1]

Ova
 
Khan aisee sio poa hila mbona kubwa hvo ni kweli usemacho? laki 4 duh mbona mwaka jana hadi cku zile za nyongeza awajafika ata laki 2 iweje mwaka huu ipande ghafla hvi
 
Huyu anaye ongea hapa inawezekana yupo kwenye TV hata sio mtu wa kusafiri, hivi waajiriwa wapya wangeenda wapi kama si hizo hospital za wilaya ambazo nyingi tena zaidi ya asilimia 80 zimejengwa kipindi cha JPM,nyingine ujenzi wake zikifikia 50%.Hivi unajua ofisi nyingi za wakuu wa wilaya na wakuu wa mkoa nyingi zimejengwa hawamu ya Magu ambazo nazo zinasubiri waajiriwa,hivi unafahamu mahakama kila wilaya ktk mikoa yote nyinyi zimejengwa kipindi cha Magu.

Najua umekaa kwenye TV na kushinda humu JF na Social media kiwasikiliza wanasiasa uchwala,hao wanao ajiliwa wanaenda kukaa kwenye miundo mbinu iliyojengwa enzi ya Magufuli.Tatizo lenu mnapenda kusimuliwa ila sisi tunao safiri mikoani tunajua umuhimu wa yule mtu kwani aliyo yafanya yanaonekana so we endelea kufuga Mimba ya Chuki ya Mwendazake.
 
Wakina msalaba wanasema heti mama samia badala ya kujenga nchi anajenga misikiti[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
Nilishasema kuwa yule mzee akili hakuwa nazo.
Ashukuriwe Mungu ajira yangu hii bila kuipata mapema 2015 ningekuwa mtaani sasa hivi najiunga na vikundi vya CCM ili angalau nipate buku 3 ya vocha
 
Nakazia
 
Huna akili. Moja ya kazi za serikali ni kuwapa ajira vijana upon needs. Leo hii nenda mashuleni walimu hamna ila serikali ya jpm ilitaka wanafunzi wajisomee wenyewe tu
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…