Ajira elfu 13 mpaka Sasa maombi ni laki nne

Nyie mapunga ya Jiwe msiojua hesabu hapo tafsiri yake ni kwamba mpaka sasa probabilities ya kijana kupata ajira ni 0.075.
Je, mpaka siku ya kufunga dirisha?
 
Kumbuka jk aliajiri walimu na madaktari wote bila kubaki mtu kila mwaka na ndo mana ajira hizi wanasema kuanzia 2015 which means chini ya hapo wote wameshaajiriwa na ndo ukweli. Jpm akaja kupiga Pini ajira zote kila mwaka kama jk
 
Yote ni kwa sababu ya mfumo mbovu wa elimu kuwaandaa vijana kusimama kiuchumi.
Huu mfumo wa chekechea, msingi, sekondari, chuo then kutembeza bahasha ndio uishi umepitwa na wakati.
Tubadili mfumo watu wafundishwe study za Kazi tangu awali
 
Kumbuka jk aliajiri walimu na madaktari wote bila kubaki mtu kila mwaka na ndo mana ajira hizi wanasema kuanzia 2015 which means chini ya hapo wote wameshaajiriwa na ndo ukweli. Jpm akaja kupiga Pini ajira zote kila mwaka kama jk
Brother mimi sio kama ww mpaka usimuliwe,mimi kazi zangu za kusafiri nacho kiongea nimekiona,sasa hao waajiriwa wapya bila haya majengo wangeenda kukaa wapi? Hivi unajua kuna hospital kibao zipo zimekamilika bado kufungwa vifaa tuu,serikali inahangaika kutafuta hela.

Sasa unaajiri vip na hauna pa kuwapeleka,shule za kata zilijengwa enzi ya Kikwete na ndio maana uhitaji wa walimu ulikuwa mkubwa,sana sasa hivi ukisema uajiri walimu wote unaenda kuwaweka wapi na kwa miundombinu gani. Kuhusu madakatari wapo madaktari wa 2015 na hawakuajiliwa mifano ninayo.

Tembeea uone na si usimuliwe na wa humu mitandaoni.

Nakuuliza mfano unataka uchumi wa viwanda kwa nchi changa kama ya Tanzania kipi kitatangulia,kuwajili watu kwa ajili ya viwanda au kujenga miundombinu ,bararabara,vyanzo vya nishati.
 
JPM akiishi anaishi, akifa nikama anaishi!
 
Nikikuta mwalimu anapambana na nyoka, nitamsaidia nyoka.
 
Huwezi kuamini Kuna wapumbavu wanamsifia
 
Hivi huwaga mnaelewa mnachoandika!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…