Ajira elfu 13 mpaka Sasa maombi ni laki nne

Haya ni mawazo ya ccm kuwahadaa watz.
 
Hicho kisiwe kichaka cha kujificha serikali inawajibu wa kutengeneza nafasi za ajira kwa watu wake kwa hilo jpm pamoja na mazuri mengi alichemka mfumo wa elimu na ajira zetu umelenga kuajiri watu sio kujiajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…