Ajira hakuna ila kazi zipo nyingi sana vijana tutumie akili

Ajira hakuna ila kazi zipo nyingi sana vijana tutumie akili

Saidia fundi kwenye ujenzi.
Bodaboda...
Kwahiyo mnataka wimbi lote la wasio na ajira waende wakusaidie fundi? Hivi mmeshawahi kukaa na kupiga hesabu hata za roughly tu ya vijana wanaomaliza vyuo kwa Kila mwaka na ajira zinazotoka huwa ziko na uwiano gani?.

Unadhani hao vijana wote wakienda kwenye hiyo bodaboda thing, huo upande utakuaje? Na vipi kuhusu hao wadada nao umewafikiria? Au mnataka na wao waanze kuamka asubuhi waende huko kwenye kusaidia fundi au kukaa vijiweni kula vichwa?
 
Hii kitiu ni alert tu kwa serikali.
Viongozi(serikali) wakiedelea kuweka pamba masikioni ni hatari kwao. Siku huu muungano ukigeuka kuwa mrengo wa kisiasa tutaweza kuona Tanzania mpya.
Kule Whatsapp machungu wanayosimlia hawa watu wamedhamiria kufanya kitu.
 
Ety watu wanaunda umoja wa waalimu wasio na ajira(NETO)

Hivi kazi zote hizi kitaa wewe una shahada unashindwa kufanya mpaka ulalamike??

Ajira hakuna ila kazi ni nyingi tumieni akili
Kaa Kwa kutulia mnufaika wa mfumo mbovu wa Ma CCM. Roho mbaya nyie, mambo yamewashinda mnang'ang'ana kuongoza Nini?? Mbwa nyie akina mkenda na kimbwa kingine ki simbachawene. Ndg zenu wanakula teuzi za ubalozi n.k unalalama Nini?? Acha watu wadai haki Yao. Hii nchi yetu sote na si mali ya akina ninyi.
 
Back
Top Bottom