Wachu macheke
Member
- Oct 8, 2024
- 68
- 120
Mbona wasomi muna uelewa mdogo sana,? Kazi zipo nyingi zaidi ya hizo huku mtaani kuna dada namfahamu anahudumia watoto saba kama house girl kwa mwezi anachukua hela wengine wanauza matunda, juice, salon n.k. kwa sasa idadi ya walimu inakaribia idadi ya wanafunzi, hata wakiajiriwa wengi bado wengine watakosaKwahiyo mnataka wimbi lote la wasio na ajira waende wakusaidie fundi? Hivi mmeshawahi kukaa na kupiga hesabu hata za roughly tu ya vijana wanaomaliza vyuo kwa Kila mwaka na ajira zinazotoka huwa ziko na uwiano gani?.
Unadhani hao vijana wote wakienda kwenye hiyo bodaboda thing, huo upande utakuaje? Na vipi kuhusu hao wadada nao umewafikiria? Au mnataka na wao waanze kuamka asubuhi waende huko kwenye kusaidia fundi au kukaa vijiweni kula vichwa?