DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Na ndio mzizi wa tatizo, watu wengi wasichokijua ni kuwa serikali haiwezi kuajiri graduates wote.
Pia kuna haja ya wazazi kuandaa miundombinu mapema ya vijana wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio mzizi wa tatizo, watu wengi wasichokijua ni kuwa serikali haiwezi kuajiri graduates wote.
Hakika tatizo letu ngozi nyeusi tuna ubinafsi sanaPia kuna haja ya wazazi kuandaa miundombinu mapema ya vijana wao
Hakuna mtu anatoka katika familia masikini anayesoma akajiajiri, kujiajiri ni matokeo otherwise hakuna familia amsikini inayoweza kupoteza pesa yote kumsomesha mtoto hadi chuo halafu akajiajiri kwenye shughli za genge, kilimo, bodaboda. Kama ni hayo angeanza mapema tu kuwa mkulima au boda boda maana uhitaji kuwa na degree kufanya hayo.Wengi wanasoma kwa ajili ya kuajiriwa. Shida ndo inaazia hapo.. 🙂 🙂
Hakika tatizo letu ngozi nyeusi tuna ubinafsi sana
Kukanga mihogo na kuchoma mahindi 😭Labda hawataki kazi yoyote zaidi ya hiyo ya uwalimu.
Tuwekee hizo kazi zilizojaa huko kitaa kwanza ili kesho tuzifuate.
Ni changamoto sana, bila kubadilisha sera ya elimu(ujasilia-mali) mambo yatakuwa magumu zaidi...Na ndio mzizi wa tatizo, watu wengi wasichokijua ni kuwa serikali haiwezi kuajiri graduates wote.
Fikra za kikenge sana za kukaririshwa na wasira et al, yani kila mtu akawe kubarua na bodaboda? Hao waliojaa hd njia za kupita hamna hawatoshi?Kwahiyo mnataka wimbi lote la wasio na ajira waende wakusaidie fundi? Hivi mmeshawahi kukaa na kupiga hesabu hata za roughly tu ya vijana wanaomaliza vyuo kwa Kila mwaka na ajira zinazotoka huwa ziko na uwiano gani?.
Unadhani hao vijana wote wakienda kwenye hiyo bodaboda thing, huo upande utakuaje? Na vipi kuhusu hao wadada nao umewafikiria? Au mnataka na wao waanze kuamka asubuhi waende huko kwenye kusaidia fundi au kukaa vijiweni kula vichwa?
. Ulicho zungumza hiki ndo uhalisia wenyewe ambao serikali na wadau wa elimu wanatakiwa kuliweka wazi..Hakuna mtu anatoka katika familia masikini anayesoma akajiajiri, kujiajiri ni matokeo otherwise hakuna familia amsikini inayoweza kupoteza pesa yote kumsomesha mtoto hadi chuo halafu akajiajiri kwenye shughli za genge, kilimo, bodaboda. Kama ni hayo angeanza mapema tu kuwa mkulima au boda boda maana uhitaji kuwa na degree kufanya hayo.
Ujenzi wenyewe uko wapi wa kumeza vijana laki 5 kwa mwaka? Mnajenga nini? Mnara wa babeli?Saidia fundi kwenye ujenzi.
Bodaboda...
Wazazi wako wana mbuzi wangapi wakusomeshe uje kufuga? Wabongo kwa kujitoa ufahamu kwenye keyboard hamjambo! Wazazi wa kawaida wana kuku na ng’ombe 3-20 wakiuza wakusomeshe wanabaki na nini ili ulete huo ujuzi wako kuwasaidia kuwafuga kwa tija? Mnapokaririshwa tumieni akili kdg zinazobaki kujiuliza na kujijibu. Ulicho zungumza hiki ndo uhalisia wenyewe ambao serikali na wadau wa elimu wanatakiwa kuliweka wazi..
. Nyumbani kuna mifugo ya kutosha, lakini kwa vile hatuna maoni ya mbali unaamua kumpeleka mwanao akosomee ualimu au nurse, kwa nini Mtoto asipelikwe tu moja kwa moja kusomea mifugo ili aje kuendeleza mifugo ya nyumbani??
Mambo tayari ni magumu mnoNi changamoto sana, bila kubadilisha sera ya elimu(ujasilia-mali) mambo yatakuwa magumu zaidi...
Hata wanaoranda randa wapo na products za familia, hakuna kukaa kizembeMfano jamii za wahindi hauwezi kukuta wanaranda randa mitaani
Watu wanachukulia simple sana hivi vitu, na wengi wanaosema hivyo wao ukiwaambia wakafanye hizo kazi hawawezi.Fikra za kikenge sana za kukaririshwa na wasira et all, yani kila mtu akawe kubarua na bodaboda? Hao waliojaa hd njia za kupita hamna hawatoshi?
Wabunge tu wakipoteza ubunge wanalia lia. Wassira kazeeka lakini bado anang'ang'ana.Watu wanachukulia simple sana hivi vitu, na wengi wanaosema hivyo wao ukiwaambia wakafanye hizo kazi hawawezi.
Yaweza kuwa hiyo Ndo fursa yenyewe,Ety watu wanaunda umoja wa waalimu wasio na ajira(NETO)
Hivi kazi zote hizi kitaa wewe una shahada unashindwa kufanya mpaka ulalamike??
Ajira hakuna ila kazi ni nyingi tumieni akili
Kuajiriwa sio Serikalini tu, heshimuni hizo ajira zenu mnazozipata shule binafsiKwahiyo mnataka wimbi lote la wasio na ajira waende wakusaidie fundi? Hivi mmeshawahi kukaa na kupiga hesabu hata za roughly tu ya vijana wanaomaliza vyuo kwa Kila mwaka na ajira zinazotoka huwa ziko na uwiano gani?.
Unadhani hao vijana wote wakienda kwenye hiyo bodaboda thing, huo upande utakuaje? Na vipi kuhusu hao wadada nao umewafikiria? Au mnataka na wao waanze kuamka asubuhi waende huko kwenye kusaidia fundi au kukaa vijiweni kula vichwa?
Kabisa mkuu, shida ya viongozi wetu wakishaingia kwenye system wanajifanya kusahau kabisa na life la mtaa... Inshort mtaa ni mgumu sana so hata ukimuona mtu ameanzisha biashara yake na imesimama hadi kuanza kuajiri unapaswa umuheshimu sana.Wabunge tu wakipoteza ubunge wanalia lia. Wassira kazeeka lakini bado anang'ang'ana.
Kujiajiri si kitu rahisi plus TRA, mara selikali za mitaa wote wana vitozo na kodi ambavyo muda mwingine vinaua biashara.