Ajira mpya za TRA
Nilijaza address ya nilipo,sijui nini kimetokea.Maana kusafiri hadi Dar na ni interview ya watu wengi hivyo ukikosa nauli inapotea bure

Ni kweli ndugu yangu, hata mimi kuna dogo namjua amejaza Dodoma ila kapangiwa Dar. Mpaka akahisi sio yeye ni majina yamefanana.

Hahahaha. Sasa hapa namsisitiza kufanana kwa majina yote matatu sio rahisi. Yeye anasema inawezekana sana.

Amekosa furaha kabisa.
 
Kwani hizi kazi zilitangazwa utumishi au mbona sijawahi kuziona
 
Kama upo mbali na mitandao au kama cycle yako sio ya waombaji kazi sio rahisi kuziona au kujua,hata hawa walioitwa kwenye interview kuna watu hawatajua na interview itawapita.

Zilitangazwa na TRA mwaka huu around mwezi wa 5-6 .
Aisee Niko mtaani since 2015 natokaje [emoji24]
 
Wakuu hivii katika vile vitambulisho walivyovitaja pale kama mtu huna hata kimoja inakuaje...... au unaweza kwenda na barua ya utambulisho kutoka sherikali za mitaa?
 
Wakuu hivii katika vile vitambulisho walivyovitaja pale kama mtu huna hata kimoja inakuaje...... au unaweza kwenda na barua ya utambulisho kutoka sherikali za mitaa?
tafuta barua ya utambulisho ya serikali za mitaaa
 
Back
Top Bottom