Ajira mpya za TRA
Kaa Leo Fikiria nafasi ngapi, Uliwahi kuweka jitihada lakini hukupata...Lakini Nyengine ulipata tu bila hata jitihada... Huyo Ndio Mungu Sasa... ( Waangalie ndege ,angani Hawalimi na hawana mashamba ila kwanini wanapata ridhki)... leo Si upo mzima na miguu unatafuta ridhki na unahofu je siku nikipata ajali nitapata wapi chakula na mahitaji....Sasa hata siku ukipata ajali na huwezi kunyanyuka Hautakufa kwa njaaa.... So uwe na imani cz hauna nguvu yoyote hata chembe ya mchanga bali ni Mwenyezi Mungu, ...

Mungu aikumbuke imani yako hii na ibaki ushuhuda kwako na kwa wengine. Amin umepata.
 
Kaa Leo Fikiria nafasi ngapi, Uliwahi kuweka jitihada lakini hukupata...Lakini Nyengine ulipata tu bila hata jitihada... Huyo Ndio Mungu Sasa... ( Waangalie ndege ,angani Hawalimi na hawana mashamba ila kwanini wanapata ridhki)... leo Si upo mzima na miguu unatafuta ridhki na unahofu je siku nikipata ajali nitapata wapi chakula na mahitaji....Sasa hata siku ukipata ajali na huwezi kunyanyuka Hautakufa kwa njaaa.... So uwe na imani cz hauna nguvu yoyote hata chembe ya mchanga bali ni Mwenyezi Mungu, ...

Hakika… Mungu ndo mpaji. Kama ipo ipo tu
 
Mbona Mnapenda Kupotosha Watu,?? Nimeomba Link ya Group cz baada tu ya Nafasi kutoka watu waliunda group , Kwa ajiri ya updates incase .... Na nilikuwepo ila nikaja poteza simu... Sasa Hapo ambacho haukuwa umeelewa nini? Yani message fupi kama hiyo unashindwa elewa na Ni graduate .. very sad
mimi nimeuliza, kumbe mmeshaitwa?
ungejibu tu ndio au hapana.
 
Sasa unahangaika na magroup ya whatsapp ya nini si usubiri tu Mungu afanye njia upigiwe simu au utumiwe email ya interview. Majina hayatatumwa kwenye group la whatsapp maana admin sio TRA tulia acha kuhangaika
Sasa Ngoja Nikupe Somo La Imani Ndugu Yangu : Sasa Hivi ni jioni Imefika Umepumzika ,Una Mipango Yako Ya Kesho Tena Ya kidunia.... Sasa Basi Mungu Anajua La hata Sekunde Moja mbele yako, Yani Unapanga Ya kesho ila unaweza kesho ndio usiamke Milele... Sasa Nakuuliza swali kama hatujui ya kesho Je kwanini Tunaweka Mipango Kwa Ajiri ya kesho?? Kwann una imani kuwa kesho utaamka???
Mimi kutaka group la watsp haimaanishi ndio Nitapata hiyo kazi, But imani yangu ni kuwa inawezekana nikapata Taarifa mapema endapo kutakuwa na updates zozote.... Cz na taarifa inawezekana nikawa nimepata kuitwa kwenye interview au sijapata nafasi ya kuitwa.....

Na ipo hivii.... Kama Mungu kakuandikia Hata kitokeee nini Utapata tuu na kama hajakuandikia hata ufanye jitihada zako vipi hupati... Na hata ukipata kitaondoka ....

Ngoja Nikupe Mfano Mkubwa;- Umemuona Rais Samia Suluhu? Niambie kabla usiku ule wa magufuli kufariki kuna binadamu yoyote aliwahi waza kuwa anaweza kuwa Raisi wa Nchi??? Ila Mungu aliyajua Yote Yajayo....

Unajiona leo , upo kapuku huna mbele wa nyuma??? Sasa Mungu anaweza kukuinua Ukapata kazi ukawa hata Mbunge na Bila kutarajia...

NB: Dunia Isiwahadae..... Hatujui Kesho Yetu.... Na Usiache Kufanya Jitihada Kwa kuwa hujui kesho yako, inawezekana hiyo jitihada ndio Njia uliyoandikiwa uifanye ili Upate unachokitaka...... Mpaka hapo ukiwa hujaelewa huwezi elewa Tena.
 
Sasa unahangaika na magroup ya whatsapp ya nini si usubiri tu Mungu afanye njia upigiwe simu au utumiwe email ya interview. Majina hayatatumwa kwenye group la whatsapp maana admin sio TRA tulia acha kuhangaika
Yani unaweza Ukapewa hadi Mtihani na majibu yake ila kama Mungu kasema hii sio ridhki yako ,My friend unaweza kupata na ikaondoka....Miezi Kama Minne Nyuma Kuna Vijana wa Tra umri miaka 28 mpka 32 walikamatwa Iringa na TIN ,Leseni etc za Magendo ....Wakakamatwa wakapelekwa mahakamani na kazi wakafukuzwa..... Unajua Maana Yake Nini??? Mungu ana njia zake....

Leo kuna rafiki zako wana kazi nzuri wewe huna ....Usiogope / usihuzunike Muombe Mungu Kama Hii ajira ina heri Upate au kama Ina shari Mbele Uipate alafu akuondolee shari za mbele au kama Haiwezekani kabisa Basi usiipate upate Nyengine.... Itakayokuwa na heri na wewe....🙏
 
IMG_7764.jpg

Jamani nimekutana na hii kwenye uzi mmoja huko ..ni kweli ?! Au kutiana pressure tu
 
Wamepanga venue kutokana na mtu alipo au wamezingatia vigezo gani? Mbona wengine wa Mwanza tumepelekwa Dar jamani wakati naona kuna venue ya Saut Mwanza,nasikia kulia
inategemea wewe ulijaza address ipi wengi wamepangiwa sehemu za karibu ana walipo na mikoa husika
 
Back
Top Bottom