Ajira mpya za TRA
Shortlist huwa inatolewaje wadau? Mana tushazoea utumish
 
Jamani vp kuhusu mahali pa kufanya huo usaili kama kawaida watagawa kikanda au ndio mwendo wa kwenda kujazana pale duce watu wa kigoma au musoma huku sijui itakuwaje
 
Karibuni tupeane Updates kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa TRA, tusaidiane jinsi ya kujaza form na kukamilisha maombi kwa pamoja.

Wasilisha hapa changamoto unayokutana nayo katika kufanya maombi yako, kisha wadau watakuja hapa kutoa msaada. karibuni sana
Kwan deadline ni lini wadau? Mbona tangazo hilo limenipita
 
Kwan deadline ni lini wadau? Mbona tangazo hilo limenipita
Oh muda wake ulishapita tar 9.
Jitahidi uwe active mitandaoni kwwnye mambo yahusuyo ajira ili usiwe unapitwa na mambo ya msingi km haya.
 
Back
Top Bottom