Ajira mpya za TRA
Mfumo uko hovyo sana , kwa kuweka passport hamna Yani shida tupu ,
Mkuu kwa upande wa passport sio lazima kuattach maana hakuna mahala ambapo imewekwa kuattach iyo passport ila kama unaweza weka kwenye cv yako kwa juu pale.
 
Hivi interview ya Tra watasimamia wenyewe kwenye mchakato wa kuajiri? Na je paper inaweza ikawaaje? Maana mie nilizoea paper za utumishi ila za wao kama wao zitakuwaje?
 
Hivi interview ya Tra watasimamia wenyewe kwenye mchakato wa kuajiri? Na je paper inaweza ikawaaje? Maana mie nilizoea paper za utumishi ila za wao kama wao zitakuwaje?
wanasimamia wenyewe andaa calculater pia pepa linakua na muda wa kutosha sio zile za dk 45 na inawezekana ikawa aptitude test
 
Eti Jamani ni kweli kama umeomba post zaidi ya moja unakuwa disqualified
Kuna uwezekano hizo Post ulizo omba interview zitafanyika siku Moja , SS sijui utajigawaje mkuu, tupunguze papara, tuombe Mungu hichi kikombe kipite vizuri
 
Kuna uwezekano hizo Post ulizo omba interview zitafanyika siku Moja , SS sijui utajigawaje mkuu, tupunguze papara, tuombe Mungu hichi kikombe kipite vizuri

Inawezekana..Mbona utumishi watu wanafanya na zinakuwa siku moja ..muda mmoja unachagua tu pa kuanza…Kwann unyimwe Haki ya kujaribu
 
Back
Top Bottom