alumn
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 2,370
- 3,163
Kaa Leo Fikiria nafasi ngapi, Uliwahi kuweka jitihada lakini hukupata...Lakini Nyengine ulipata tu bila hata jitihada... Huyo Ndio Mungu Sasa... ( Waangalie ndege ,angani Hawalimi na hawana mashamba ila kwanini wanapata ridhki)... leo Si upo mzima na miguu unatafuta ridhki na unahofu je siku nikipata ajali nitapata wapi chakula na mahitaji....Sasa hata siku ukipata ajali na huwezi kunyanyuka Hautakufa kwa njaaa.... So uwe na imani cz hauna nguvu yoyote hata chembe ya mchanga bali ni Mwenyezi Mungu, ...
Mungu aikumbuke imani yako hii na ibaki ushuhuda kwako na kwa wengine. Amin umepata.