Nilijaza address ya nilipo,sijui nini kimetokea.Maana kusafiri hadi Dar na ni interview ya watu wengi hivyo ukikosa nauli inapotea bure

Ni kweli ndugu yangu, hata mimi kuna dogo namjua amejaza Dodoma ila kapangiwa Dar. Mpaka akahisi sio yeye ni majina yamefanana.

Hahahaha. Sasa hapa namsisitiza kufanana kwa majina yote matatu sio rahisi. Yeye anasema inawezekana sana.

Amekosa furaha kabisa.
 
Kwani hizi kazi zilitangazwa utumishi au mbona sijawahi kuziona
 
Kama upo mbali na mitandao au kama cycle yako sio ya waombaji kazi sio rahisi kuziona au kujua,hata hawa walioitwa kwenye interview kuna watu hawatajua na interview itawapita.

Zilitangazwa na TRA mwaka huu around mwezi wa 5-6 .
Aisee Niko mtaani since 2015 natokaje [emoji24]
 
kuna maeelezo yanasema tuingie kwenye account zetu na kunakili namba ya usaili.... tuinapata wapi namba ya usaili alie elewa msaada
Mkuu sasa majibu ya hili ulilouliza si umelijibu hapo hapo? Ingia kwenye account yako au cheki E Mail yako wanatuma.
 
Zile namba hawajaingiza nimeangalia profile za watu kama watatu waliochaguliwa lakini hawajaingiziwa namba za usaili.
Mkuu mimi nimetumiwa kwenye email address yangu kuweni na subira ingieni kwenye barua pepe zenu zitatumwa tu
 
Wakuu hivii katika vile vitambulisho walivyovitaja pale kama mtu huna hata kimoja inakuaje...... au unaweza kwenda na barua ya utambulisho kutoka sherikali za mitaa?
 
Wakuu hivii katika vile vitambulisho walivyovitaja pale kama mtu huna hata kimoja inakuaje...... au unaweza kwenda na barua ya utambulisho kutoka sherikali za mitaa?
tafuta barua ya utambulisho ya serikali za mitaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…