Ajira mpya za Utumishi zinachanganya. Matangazo yametoka mawili, lipi ni sahihi?

Naona wanakosea kujulimlisha kupata total ndo wakarekebisha,apa naona wametoa kada ya afya wameandika 80 but zko zaid ya 90[emoji4]
 
Naona wanakosea kujulimlisha kupata total ndo wakarekebisha,apa naona wametoa kada ya afya wameandika 80 but zko zaid ya 90[emoji4]
NakubališŸ‘
 
Kweli mkuu but nikitaka kufahamu tu..

Coz Kuna wadau wangu hapa wa Sheria... Hizo posts zimewachanganya term ya idadi Kila pdf Ina idadi yake. Idadi ya post ni muhimu sana ili mtu ajua kuwa anaingia kinyang'anyiro Cha nafasi ngapi..
Ukishaona mtu anaandika coz. Xaxa ujue huyo ana matatizo
 
Ukishaona mtu anaandika coz. Xaxa ujue huyo ana matatizo
Unajiabisha wewe, kwa upande wako hiyo statement uliyoiandika unaamini iko sahihi, then unakuja kukaza fuvu kwa mwenzio..!! Doltish-stupid...!!!
 
Kwa kifupi watakuwa wameupdate nafasi. So tangazo ni lile lile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…