Ndo walivyo walimu wa siku hizi. Huwezi kuwa na walimu wa namna hii alafu utegemee wanafunzi wafaulu vizuri labda huibe mtihani
bunge leo linaanza tuwasikilize labda pinda atatoa tamko na kawambwa kama ipo au aipo walimu wenzangu
Jamani hivi serikali anajua walimu wanavyohangaika mtaani!!!?
kisa nnNdo walivyo walimu wa siku hizi. Huwezi kuwa na walimu wa namna hii alafu utegemee wanafunzi wafaulu vizuri labda huibe mtihani
ata uko vijijin utahangaika vivo hivyoJamani hivi serikali anajua walimu wanavyohangaika mtaani!!!?
kila siku mnaboost tu siku tutafika mwakani sasa
Kusubiri ajira za ualimu ni sawa na kusubiri kampeni za Chadema kurushwa live TBC one.... Poleni waalimu tujarbu kutafuta alternative...
We usidanganywe na mtu kwa degree unalipwa 45000 mara 7 jumlisha na nauli yako peke yake hizo laki 4 sijui 6 ni uongo na wala haijalishi wilaya kilasehemu bei ni sawa kijana
Atnetive gan? mbona too late now!
watishien hao masisiem au mnawaogopa.. mbona kada zngne wameshaajir kwanini walimu? duh polen sana
acha kupotosha umma, mimi ni mwalmu mzoefu kabsaa,mwaka wa 5 huu nafundsha,usitafute umaarufu kuptia ualimu