Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Status
Not open for further replies.
BREAKING NEWS!
ajira zaidi ya elfu 36 za walimu zilizokuwa zitangazwe katikati ya mwezi huu zasitishwa kutokana na dosari zinazoelezwa kuwa ni baadhi ya vyuo hasa vya shahada kushindwa kuwasilisha matokeo ya wahitimu hadi leo hii. Hivyo wizara imesitisha ajira hizo hadi pale dosari hiyo itakaporekebishwa.
Chanzo: TBC-1 (17.03.2015 saa tisa na dk 48)

Sambaza kwa walimu tarajali wote
 
kila ktu ktakua sawa kwa wakat muafaka bana
 
Yaani mwalimu hujaajuriwa unaanza kuwa na mashaka na kudhulumiwa hela zako?
Kwanza upate ajira,
pili upate mshahara.
Mengine siyo ya msingi sana.
Karibu kwenye fani tukufu mwalimu.
aisee ki[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13]
 
mh! watu wanaanza kushawish watu kupgia kura ya hapana hyo katba kama ajira hazitatoka mapema
 
mmm ni ndoto ambazo azita isha leo wala kesho maana kada zingine washaajiriwa kada ya ualimu sjui kikwazo nini?
 
Mwaka huu!
Hali ni mbaya.
Serikali inapumulia mashne!
Vyuo na shule vimefungwa
hakuna chakula.
 
hope ndani ya mwezi huu mambo yataenda vizuri kwa waalimu tarajiwa
 
Tuache masihara jamani, nawatakia kila la heri katika suala la ajira zenu....hope mtaajiriwa soon
 
aa ni kweli walimu tunatoa taarifa za uongo sana wewe unasema mwezi wa nne ajira kulipoti mwezi wa tano mm acha uongo
 
Pumbaf nyie hakuna watu wenye akili duniani kama walimu, na bila walim io mitoto yenu yote itakua mijambazi nyau nini kingereza ndo nini, ualimu ndo kazi pekee ya wastaarabu hapa bongo kama unabisha angalia watoto wa walimu na wafanyabiasha au occupation then compare whose are obidient and briliant sio mnadharau tu kazi za watu maafaka!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…