Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Status
Not open for further replies.
Walimu wenyewe ndio wale waliopata zero au dv. four ya mwisho unategemea nini, bora serikali iwapotezee tu
 
Bwana Mahug! Utaratibu upo hivi.... kwa manispaa na majiji ni 65,000= kwa siku x7. hiyo ni kwa bachelor. wilaya zilizopo vijijini ni 45,000 kwa siku x7. Usipange kuchakachuliwa ni haki yako.
 
wizara ya elimu ipo makini sana awezi kuchakachuliza labda ataambiwa pesa azijatumwa bado au zimetumwa chache
 
Mwaka huu inakula kwenu walimu njaa, hakuna ajira mpaka uchaguzi mkuu upite, inside story
 
Walimu wenyewe ndio wale waliopata zero au dv. four ya mwisho unategemea nini, bora serikali iwapotezee tu

usipost kama hauna uhakika,,ivi four wanaenda ualimu? labda kwa ngazi ya cheti ivi unafikiri kama udsm wanachukua watu wenye four? ni vema ungetoa ufafanuzi juu ya hilo na sio kukurupuka tu.
 
itakua poa kama wakitupa taarifa na ikiwa hivyo ccm itakua imepoteza umaarufu kwa kua pinda alisema walimu 36000 wataaji
 
Hakuna ajuaye Ajira lini hapa tunafanya yanatoka. Walidai oooh tar15.humu ndani wote hatujui hapo tunajifanya tunajua Ajira lini
 
ajira zitatoka ila atujui ni mwezi wa ngapi? na ni tarehe ngapi? maana atabungeni akunambunge yeyote anaeulizia tujue.
 
Afu vilevile kwa kuongezea .. moevt haiusikiki na ajira za elimu.. tamisemi (PMORALG) Ndo wanaohusika na ajira hata zikitoka zzinapitia uko walimu..

Mkuu majina huwa yanatolewa website ya MOEVT halafu TAMISEMI wao huwa watoa taarifa tu! Ndivyo ninavyofahamu ila huyo nae aliyeleta tangazo apelekwe milembe!
 
ajira zitatoka ila atujui ni mwezi wa ngapi? na ni tarehe ngapi? maana atabungeni akunambunge yeyote anaeulizia tujue.

mkuu wabunge wote wanawaza kama watarudi mjengoni awamu ijayo au la! Bunge hili wabunge huwa wanastress sana wala usitegemee swali km hilo!
 
mi nachoshindwa kuelewa kada nyingine washaajiriwa afu sekta husika aitoi tamko kwa nini ajira zimechelewa mwaka walitoa
 
Duuuh mwaka huu kiboko.. Kama ni adabu basi,vijana wameipata.. Serikal itoe hayo majina tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom