mzee wa funny
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 296
- 65
wanakuwa wanapangwa kama kweli umeclear .... sababu wengi 2 wamepangwa ..
Mbona tangazo halina tarehe acha kuZingua khaa
wanakuwa wanapangwa kama kweli umeclear .... sababu wengi 2 wamepangwa ..
Tuwe wapole kwanzaaaaaaa
Post zote zitatoka na majina full soon
Hahaaaa tulikua wizarani asubuhi kucheki ustaarabu wa nomino ambazo hazipo
Huu ni uzembe hicho chuo kilichowasilisha majina ya Mwaka Jana kimechukuliwa hatua gani? Na inakuwaje unawasilisha majina ya Nyuma hapa napata shaka inawezekana vilevile kuna watu wanapelekwa majina yao TAMISEMI hata chuo hawajagusa kwani Tamisemi hawafanyi verification ya Wahitimu TCU and a bit background ya sifa alizoingilia chuo Jamani hivi nchi hii Viongozi mnafikiri kwa kutumia nini! Maana ya Kuwa na E-Govenment ni nini? Kwa nini msiwe na software inayolink vyuo vyote nchini ambayo inakuwa na uwezo wa Ku export report zozote mnazozitaka ziwe za wahitimu au Taarifa zingine ambapo issue ya kuwapangia vituo walimu ingekuwa ya siku 2 au 3 tu
Hapo ndo ujue kuwa SEKOMU ni baba lao! Kesho tu majina yetu yanakuwa hewani!
Kingekuwa chuo kingine hapo wangesugua bench mwezi mzima! Waulizeni St. John mwaka jana walikaa mda gan
Post zote zitatoka na majina full soon
Utamega sana walimu wewe!!!!