Ajira mpya za Walimu wa Sekondari zasitishwa kwa muda ili kurekebishwa

Ajira mpya za Walimu wa Sekondari zasitishwa kwa muda ili kurekebishwa

Status
Not open for further replies.
Wonders never end in Tanzania... Mfumo wa nchi uhamishwe kutoka ANALOG to DIGITAL. Mfano halisi ni jinsi Serikali inavyoshindwa kukusanya fedha za beneficiaries wa Loan Board.
 
Tumesimamisha kwa sababu kuna Dili tunataka tulipige kwanza kabla ya bajeti kuu,endeleeni kubangaiza ila msiibe tu wananchi wanahasira sana.tutawajulisha muda ukifika ila msipaniki tu
 
Hahaaaa tulikua wizarani asubuhi kucheki ustaarabu wa nomino ambazo hazipo
 
Huu ni uzembe hicho chuo kilichowasilisha majina ya Mwaka Jana kimechukuliwa hatua gani? Na inakuwaje unawasilisha majina ya Nyuma hapa napata shaka inawezekana vilevile kuna watu wanapelekwa majina yao TAMISEMI hata chuo hawajagusa kwani Tamisemi hawafanyi verification ya Wahitimu TCU and a bit background ya sifa alizoingilia chuo Jamani hivi nchi hii Viongozi mnafikiri kwa kutumia nini! Maana ya Kuwa na E-Govenment ni nini? Kwa nini msiwe na software inayolink vyuo vyote nchini ambayo inakuwa na uwezo wa Ku export report zozote mnazozitaka ziwe za wahitimu au Taarifa zingine ambapo issue ya kuwapangia vituo walimu ingekuwa ya siku 2 au 3 tu
 
soma hapa

attachment.php
 
a very gumashi country..... eti wahitimu wa mwaka jana lyk seriously??? mscheeeew
 
Hapo ndo ujue kuwa SEKOMU ni baba lao! Kesho tu majina yetu yanakuwa hewani!

Kingekuwa chuo kingine hapo wangesugua bench mwezi mzima! Waulizeni St. John mwaka jana walikaa mda gan

hiyo takataka sekomu ndo unaita baba lao? sasa aru,sua, udsm,muhas vitakua nani? labda mungu wao.
 
Duuuh,mbona kama changa la macho!..zikichelewa hadi miezi ijayo mtahoji tena?,,ina maana chuo kimoja ndo kisitishe watu wote?,,loooh it means can not be adjusted electronically?,,where is e-government?,

ila subira huvuta heri,subirini utaratibu mzuri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom