Ajira mpya za Walimu wa Sekondari zasitishwa kwa muda ili kurekebishwa

Ajira mpya za Walimu wa Sekondari zasitishwa kwa muda ili kurekebishwa

Status
Not open for further replies.
Chichimizi rafiki yangu acha uoga unapaswa kujua unapoweka majina katika list ili kuyachomoa ni lazima kufanya editing sasa unafikiri watafanyaje editing majina yakiwa hewani so vuteni subira mtajipa stress bure hlf baadaye majina yatolewe tena mr jumanne sagini hawezi kudanganya umma wa watanzania na tangazo liko wazi limeelezea matatizo ya uongozi wa sekomu katika kupeleka majina sahihi wizarani.

Sawa mkuu lakini ukipata muda kaaa chini then fikiriaaa vzr kuwaaa kama wewe ni mtaaluma ktk shule flani,then unaambiwa lete orodha ya wanafunzi waliomaliza shule mwaka jana,,hivi kweli wewe upekueee kwenye mashelifu ukute orodha ya mwaka juzi ndouipeleke kweli inamana hata majina ya wanafunzi wako uliokaanao miaka mitatu usiwajueeee hata mmoja?

aaaaaaaah jamani tusifanyiane hivyooooo hata sisi tunao uwezo mdogo wa kufikiri
 
Ivi graduates wa SEKOMU wakoje kwa kichwa.??
 
Sawa mkuu lakini ukipata muda kaaa chini then fikiriaaa vzr kuwaaa kama wewe ni mtaaluma ktk shule flani,then unaambiwa lete orodha ya wanafunzi waliomaliza shule mwaka jana,,hivi kweli wewe upekueee kwenye mashelifu ukute orodha ya mwaka juzi ndouipeleke kweli inamana hata majina ya wanafunzi wako uliokaanao miaka mitatu usiwajueeee hata mmoja?

aaaaaaaah jamani tusifanyiane hivyooooo hata sisi tunao uwezo mdogo wa kufikiri

Mlikua na kelele sana humu,hasa wewe..ulitupostia hadi picha humu za mavazi,haya sasa kiko wap?hio ndio kadhia ya kusoma vichochoroni
 
Nimasikitiko yangu kuona walimu wenzangu wa BEDECE UDSM ,mmewapa ajira walimu watano tu na kuacha zaidi ya 25.Waliobaki wanajiuliza ,mumezingatia vigezo gani kuwapa wachache na kuacha wengi bila ajira? au wao hawana haki ya kupewa ajira? Naomba wahusika mchukue hatu ilikuondoa utata. Nawasilisha.
Walimu Wa Sanaa wametosha,hatuwataki tena
 
Kwa mfano Haiwezekani mtu aombe maeneo ya kaskazini mwa Tanzania, halafu ninyi mnampanga kusini, hii ni kukomoa na kusababisha kero za kuhama vituo baadae. mbona maeneo jirani na kaskazini yako mengi kama vile sindida, dodoma, tabora, tanga, pwani nk. Mjirekebishe kwa hilo mbona maeneo yako mengi tuu,
 
TAMISEMI tangazo lenu la kufanyia marekebisho majina ya ajira mpya za walimu pamoja na kuziondoa list za majina yote kwenye tovuti yenu kumetuchanganya wengi.

Mkumbuke baada ya kutangaza majina mlitutaka kuanza kuripoti vituoni kuanzia mei mosi. Lakini baada ya kuweka tangazo la kufanya marekebisho hamjasema km tarehe ya kuripot imebadilika na km mabadiliko yenu yataathiri vituo vya awali tulivyopangiwa.

Nidhahiri kwa sasa hakuna mwenye jibu kamili, nawaomba TAMISEMI toeni press release tujue nini kinaendelea.

NAOMBA KUWASILISHA:
 
mimi kesho nakwea ndinga naenda kuripot trh mosi nipo kwenye kitasa cha mlango wa ofisi ya mkurugenzi naomba kuelekezwa shule ya kufundisha!
 
hiyo takataka sekomu ndo unaita baba lao? sasa aru,sua, udsm,muhas vitakua nani? labda mungu wao.

Subiri majina yaje ndo utagundua SEKOMU ni chuo gani. Ni chuo pekee ambacho wahitimu wake hupangwa mjini kwa 98% coz wanasomea elimu maalum ambayo karibia shule zote zipo TOWN. Walimu toka ud, sua, mzumbe ndo wanaoongoza kupelekwa VIJIJINI!

Kwa reference zaidi chunguza post za mwaka jana ndo utajua nini namaanisha
 
Ni kweli kiongozi hawa jamaa wametuweka kwny mtego aisee. Sema kwa ushauri mtu bora ukaripot mapemaa.
 
Hawa walimu wetu hawa nina mashaka nao lile tangazo halijasema kuwa ajira zenu zimesitishwa bali limesema kuwa "kuondolewa kwa muda majina" na wala sio kusitoshwa kwa ajira mbona nyie walimu hamjiamini mnaboa sasa embu jiaminini.

Bora uwaambie kaka hii sumu ya uanaharakati iliyopo vichwani mwao wanaenda nayo kuipandikiza kwa watoto wetu.
 
Wahanga wa sekuco tunamshukuru mungu kwa majina kuondolewa ili nasi tupangiwe vituo. Sasa watu wanapokasirika hatuwaelewi sijui wangekosa wao ingekuwaje!
 
Ninaomba waheshima mtoe tamko kuhusu waliokosa ajira iliwajue wanafuata utaratibu gani ili waweze kuajiriwa.Very serious issue don't ignore plz.
 
Wahanga wa sekuco tunamshukuru mungu kwa majina kuondolewa ili nasi tupangiwe vituo. Sasa watu wanapokasirika hatuwaelewi sijui wangekosa wao ingekuwaje!

Sisi tunakasirikia uongozi wenu wachuo mbovu usiojua mpangilio na kazi zake mwisho inaathiri utendajikazi wa taifa ningekua nacte icho chuo............
 
Juzi uliwekwa uzi kuhusu ajira mpya za waalimu na kwa kweli ulitusaidia sana.
Leo nimepata habari zisizo rasmi kuwa orodha ile imesitishwa.
Naomba mwenye habari kamili anisaidie wadau
 
CCM bhana wanwapa rushwa?Lazima watakuwa wamelipa hela nyingi kuandika kuliko hata hiyo budget....itashangaza walimu wakigeuka tena halafu wasubiri miaka kibao wakipigika hadi ahadi nyingine.
 
Wahanga wa sekuco tunamshukuru mungu kwa majina kuondolewa ili nasi tupangiwe vituo. Sasa watu wanapokasirika hatuwaelewi sijui wangekosa wao ingekuwaje!

utawala wa chuo chenu wa hovyo sn ndo walewale wanaopasua kichwa badala ya goti! Ninawasisi na utawala wenu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom