Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Usijalii mkuu,,, wakatii wa Mungu ni wakati sahihi ipo siku utaona manufaa ya elimu yko na utasahau yote hayoHakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno yake kwamba shule nilienda kupoteza muda.
Daah!!! Ni lini hizi dharau zitaisha jamani
Ucjali mkuu elimu ikianza kukulipa inakulipa.Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno yake kwamba shule nilienda kupoteza muda.
Daah!!! Ni lini hizi dharau zitaisha jamani
Dharau iko kila sehemu.Hata ukiajiriwa dharau zitaendelea tu funguka jitambue jiongeze master.
Sure mkuu!Dharau iko kila sehemu.
Unge mjibuHakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno yake kwamba shule nilienda kupoteza muda.
Daah!!! Ni lini hizi dharau zitaisha jamani
Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno yake kwamba shule nilienda kupoteza muda.
Daah!!! Ni lini hizi dharau zitaisha jamani
Safi sana tatizo tu ,unafundisha swala kuwa simba.Tumia njia za asili tofauti na hapo mambo sio marahisi
Ni kupotezea tu na kufocus na mishe zako.Sure mkuu!
Na pia bahati na hela za kuonga.Tz ya leo "ajira ni lazima uwe na refa".
🚮Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno yake kwamba shule nilienda kupoteza muda.
Daah!!! Ni lini hizi dharau zitaisha jamani
Nyanda Banka kuna muongozo hapa🙌Ulisoma kozi gani?