Ajira ni mtihani

Ajira ni mtihani

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno yake kwamba shule nilienda kupoteza muda.

Daah!!! Ni lini hizi dharau zitaisha jamani
 
Usijalii mkuu,,, wakatii wa Mungu ni wakati sahihi ipo siku utaona manufaa ya elimu yko na utasahau yote hayo
 
Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno yake kwamba shule nilienda kupoteza muda.

Daah!!! Ni lini hizi dharau zitaisha jamani
Ucjali mkuu elimu ikianza kukulipa inakulipa.
 
Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno yake kwamba shule nilienda kupoteza muda.

Daah!!! Ni lini hizi dharau zitaisha jamani
Unge mjibu
Ule na tuja Bebe nan'go
 
Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno yake kwamba shule nilienda kupoteza muda.

Daah!!! Ni lini hizi dharau zitaisha jamani

Tumia njia za asili tofauti na hapo mambo sio marahisi don't agree to hustle in vain
 
Ukiwa unatafuta kitu ili upate heshima na kuwa prove watu wrong utaishia kutoka bila bila

Then hata Kama njaa inauma vipi nenda ufanye kazi sehemu ambayo uwepo wako utaonekana.

Sasa wewe Una degree unaenda kuwa saidia fundi hiyo haina Afya sana .

Kama wewe Una degree jikite zaidi kuwa MTU kati tafuta tenda then wape watu.
 
CCM wameua viwanda wamewaletea uraibu wa "betting" na kwenye ilani yao wanasema "betting" ni ajira .

Recently nilikuwa napitia mtandao wa Twitter /X sijafollow watu wengi waliopo TZ ila feeds naona zinapoup za taarifa chache kulingana na walionifollow.

Ndio nikaona changamoto ya ajira ilivyo kuna jamaa anagawa pesa yaani vijana kwenye comments za jamaa hata akicomment ujinga unakuta kijana kaweka namba ya simu akimuita tajiri amkumbuke! inasikitisha sana..

Hao ndio tunao humu kina Mwashambwa wakishapewa buku 7 akili wanakabidhi Lumumba humu wanakuja bila ubongo.
 
Back
Top Bottom