Inaelekea umegombana na jirani yako mambo ya mpaka wa kiwanja (sio wa nyumba)Kipindi unaingia kwenye utumishi wa umma au private uliweka malengo mengi juu ya mshahara wako lakini sasa Sheria na maziningira ya kazi yanafanya usahau ndoto zako
Wewe uko kundi lipi?Kipindi unaingia kwenye utumishi wa umma au private uliweka malengo mengi juu ya mshahara wako lakini sasa Sheria na maziningira ya kazi yanafanya usahau ndoto zako
Mshahara ikawa ni madawa ya kulevya
Uliingia kwenye ajira ukiwa na miaka 26+ apo una diploma labda uliingia na ndoto zako maraa papa yanakuja mawazo ya kuongeza elimu apo +3/4 years unarudi na documents unaongezwa mshahara na cheo kinapanda tayari apo una 30+ years
Unaongezewa majukumu na vyeo vya kukufanya ubweteke kusaka fursa nyingine
Mara paaap una 40+ years unaanza kufikiria mikopo unakopa apo ndio kwiiiiisha lala salama itamiliki IST,PASO NA KLUGER ya mkopo
Mara paaap unaanza kujaribu biashara mara paaap inakufa sababu huna uzoefu ila pesa ipo sababu uliaminishwa biashara ni mtaji
Mara paap unaanza kua chawa
Mara paaaap uchawa na michongo haramu
Mara paap uchawa unakushinda mara paap 55+ years
Mara paap unakua msoma magaazeti🤣🤣🤣
Mara paaap una staafu
Mara paap unakufa🤣🤣🤣🤣
Ukiajiriwa jitahidi baadhi ya Sheria uzivunje ili utoboe acha uoga wa kiboya kitambi hakikai na mjinga amkaaaa
Ukweli mchungu ni kwamba kama huwezi pangilia mshahara uliopo fixed hutoweza pangilia faida/hasara kwenye biashara.Kipindi unaingia kwenye utumishi wa umma au private uliweka malengo mengi juu ya mshahara wako lakini sasa Sheria na maziningira ya kazi yanafanya usahau ndoto zako
Mshahara ikawa ni madawa ya kulevya
Uliingia kwenye ajira ukiwa na miaka 26+ apo una diploma labda uliingia na ndoto zako maraa papa yanakuja mawazo ya kuongeza elimu apo +3/4 years unarudi na documents unaongezwa mshahara na cheo kinapanda tayari apo una 30+ years
Unaongezewa majukumu na vyeo vya kukufanya ubweteke kusaka fursa nyingine
Mara paaap una 40+ years unaanza kufikiria mikopo unakopa apo ndio kwiiiiisha lala salama itamiliki IST,PASO NA KLUGER ya mkopo
Mara paaap unaanza kujaribu biashara mara paaap inakufa sababu huna uzoefu ila pesa ipo sababu uliaminishwa biashara ni mtaji
Mara paap unaanza kua chawa
Mara paaaap uchawa na michongo haramu
Mara paap uchawa unakushinda mara paap 55+ years
Mara paap unakua msoma magaazeti🤣🤣🤣
Mara paaap una staafu
Mara paap unakufa🤣🤣🤣🤣
Ukiajiriwa jitahidi baadhi ya Sheria uzivunje ili utoboe acha uoga wa kiboya kitambi hakikai na mjinga amkaaaa
Sio kweli mkuu.Ukiisha ajiriwa sahau kutajirika. Hakuna tajiri muajiriwa, matajiri wanaajiri
sijawahi kuona tajiri muajiriwaSio kweli mkuu.
Wapo wakutosha Mkuu, ni vile huwajui au haupo kwenye harakati kubwa za fedha.sijawahi kuona tajiri muajiriwa
Binadamu sio wapumbavu , hatuwezi kuwa na lengo moja ...Kusikiliza motivational quotes za watu waliokufa ni ujinga .If you group the richest people in the world you will find out that 75% are investors, 15% are entrepreneurs, 7% are inheritors, 3% are athletes, celebrities and politicians and 0% are employees.