Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

hakikisha umejaza kila kipengele mfano pale ktk academic qualifications jaza na upload vyeti vyako kuanzia O level , A level na vingine, upload vyeti katika pdf format.
 
Pole sana, mifumo mingi ya serikali ni ya hivyo sana...
 
Oya mwamba,mkeka unatoka lini ? Maana Ni mwezi umepita Sasa toka tutume maombi
Kuwa na subira tu mkuu, Kuna Ajira za TRA wako na miezi mi4 Toka deadline Ila Hadi Leo hawajaitwa hvyo unaweza kuona namna gani unaweza kusugua kitaa kwa mda mrefu sana.
 
Limenikuta kwenye vigezo wameandika bachelor of education in science (chemistry) na kazi ambayo ninayo muombea mtu huyo kasoma lakini ukiomba failed piga simu hawapokei ukipiga tena inatumika ikiita hawapokei.
 
Hili bado limekuwa tatizo kubwa
 

sijaweka maneno,ninaandika 3.8 ndio inasoma hivi
Hapo hata me mwenyewe unanivuruga.. mbona watu wanaandoka tu hapo na inakubali..
Waface kwa Email Yao watakusaidia chap
 
Vipi wakuuu
Ishu ya kuverify vyeti unaifanya kila unapoomba ajira?

Au unafanya mara moja for lifetime
 
Mara nyingi mkuu lakini mimi kuna kipindi niliacha nika log out baadae nika log in ikakubali hizi ambazo zilitoka mwezi huu ulipita zenye deadline tarehe 7/6
We kozi yako ilikuwa Equivalent au official iliyokuwa inatakiwa..?
 
Kama ushaweka verified/certified Haina shida..
Kaka kuna mtu ni wa hapa bara ila kwenye kujaza amekosea ameweka origin ni tanzania-zanzibar badala ya main land,je hii itaathiri maombi yake?,
maana hii sehemu haikubali editting;

Pia naomba kujua,hivi inatakiwa kuweka chet cha kumaliza form four (form four leaving certificate) na kile cha kumaliza form six (form six leaving certificate) ?,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…