Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nisaidie hapa,kwenye gpa ipo 3.8 kati ya 5,ila nikiweka 3.8 system inasema "GPA must contain only numbers",na inagoma kuendelea,msaada!Halafu acha kuturudisha nyuma bhana. Kazi zote zinaombwa kupitia portal ya Utumishi.. Ingelikuwa hvyo unadhan tungelihangaika hv..?
We unaweka na maneno...? Weka namba tu kama una tatu point 6 basi Andika 3.6 onlyMkuu nisaidie hapa,kwenye gpa ipo 3.8 kati ya 5,ila nikiweka 3.8 system inasema "GPA must contain only numbers",na inagoma kuendelea,msaada!
Kuwa na subira tu mkuu, Kuna Ajira za TRA wako na miezi mi4 Toka deadline Ila Hadi Leo hawajaitwa hvyo unaweza kuona namna gani unaweza kusugua kitaa kwa mda mrefu sana.Oya mwamba,mkeka unatoka lini ? Maana Ni mwezi umepita Sasa toka tutume maombi
Limenikuta kwenye vigezo wameandika bachelor of education in science (chemistry) na kazi ambayo ninayo muombea mtu huyo kasoma lakini ukiomba failed piga simu hawapokei ukipiga tena inatumika ikiita hawapokei.Uzi Mtam huu,,, mwenyewe nimeshindwa sana kuomba hzo kazi Jana ni hizohzo za SUA pale tutorial.. nikajua kuomba msaada hapa Ila ni hola...!!!
Basi nimeamua kumwachia Mungu tu tusubiri zitakazokubali Ila Frankly portal Yao yakishamba sana.. hivi wanajua Maana ya neno "Equivalent"..? Wanakera kwakweli
sijaweka maneno,ninaandika 3.8 ndio inasoma hiviWe unaweka na maneno...? Weka namba tu kama una tatu point 6 basi Andika 3.6 only
Cheti muhum kuliko transcriptNB: usisahau kusave cheti kilichohakikiwa na wakili
Walitumia email zao naskiaKuna watu humu kipindi fualni walikuwa wanalalamika hii issue Ila baada ya muda walifanikiwa, Sasa sijui walitumia mbinu gani.. AIa madogo wenyewe hawaonekani tena humu walikuja kipindi Kila Kuna Ajira kibao zilitangazwa.
Hili bado limekuwa tatizo kubwaAjira portal nafikiri wanao run hii system wamekwamisha saana ndoto za watu kupata ajira. Mfano mtu anaweza kua anaomba kazi ya uhasibu .na JD inakuainishia kozi kazaa , Lakini wao watataka mtu aliye soma account tuu wakati kuna kozi nyingi alizosoma anafanya kazi za uhasibu.
Nafikiri wapo very rigid saana hata hawabadiriki kabisa.
Ukitaka kuchange course kuendana na tangazo (Equivalent courses) ili uweze kuapply fanya hivi, 1 nenda sehemu ya academic qualifications 2 nenda sehemu ya saved academic qualifications ( kwenye cheti cha chuo) utakuta sehemu mbili, ya attachment na EDIT, wewe utabonyeza kwenye EDIT baada ya hapo itakupeleka kwenye taarifa zako za chuo utaenda kuedit sehemu ya PROGRAMME NAME ( course uliyosoma au inayoendana nahiyo). Baada ya hapo utabonyeza sehemu ya save. Baada ya hapo utarudi kwenye kazi unayotaka kuapply na utaapply bila shida.
Hapo hata me mwenyewe unanivuruga.. mbona watu wanaandoka tu hapo na inakubali..sijaweka maneno,ninaandika 3.8 ndio inasoma hivi
Yaaah,, Email wanarespond kimtindo but Simu ni shida kwa kweli..Hili bado limekuwa tatizo kubwa
Vp mkuu, hii kadhia ya kugoma kuapply kazi nawe ushawahi kuexperience..?Hili bado limekuwa tatizo kubwa
Mara nyingi mkuu lakini mimi kuna kipindi niliacha nika log out baadae nika log in ikakubali hizi ambazo zilitoka mwezi huu ulipita zenye deadline tarehe 7/6Vp mkuu, hii kadhia ya kugoma kuapply kazi nawe ushawahi kuexperience..?
We kozi yako ilikuwa Equivalent au official iliyokuwa inatakiwa..?Mara nyingi mkuu lakini mimi kuna kipindi niliacha nika log out baadae nika log in ikakubali hizi ambazo zilitoka mwezi huu ulipita zenye deadline tarehe 7/6
Kama ushaweka verified/certified Haina shida..Vipi wakuuu
Ishu ya kuverify vyeti unaifanya kila unapoomba ajira?
Au unafanya mara moja for lifetime
asante,naona baada ya kurudia rudia imekubali;Hapo hata me mwenyewe unanivuruga.. mbona watu wanaandoka tu hapo na inakubali..
Waface kwa Email Yao watakusaidia chap
Kaka kuna mtu ni wa hapa bara ila kwenye kujaza amekosea ameweka origin ni tanzania-zanzibar badala ya main land,je hii itaathiri maombi yake?,Kama ushaweka verified/certified Haina shida..