Ajira Serikalini iwe miaka 10 tu, baada ya hapo watu wastaafishwe

Kumbe nyie hamtaki kufanya kazi bali kugawana keki duuuh hatariiii Sana kwa akili hizi mtasota sanaa
Huku private unaliwa kichwa mapema sana
Yaan wewe unawaza kugawana keki
We umetoka kazini saiv umeshika simu unatype vitu huelewi vilipoanzi.

Unadandia SGR in front that’s kinda guts mamen.

Usiongee ilimradi uonekane unasauti na wewe sometimes jua vitu elewa tafuta fact ongea.

Acha ushamba wa kubishana hovyo.
Kuna uzi wa yanga huko kwenye forum ya sports nenda kapige soga zisizokuwa Na mipango.
 
Kumbe nyie hamtaki kufanya kazi bali kugawana keki duuuh hatariiii Sana kwa akili hizi mtasota sanaa
Huku private unaliwa kichwa mapema sana
Yaan wewe unawaza kugawana keki
Wewe kuajiriwa kwako huko umeongeza tija gani mpaka sasa?
 
Kwa mfumo wa mikataba itawezekanaπŸ˜‚ kila baada ya miaka 5 watu wanapishana.
Wanapishana choon au?
Kijana njoo private tule maisha huko serikalini mtauana bure kugombania ajira chache
Halafu mna mentality ya kula keki sio kufanya kazi
Mtasota sanaa na sasa hivi ni mwendo wa interview duuuh hatariiii mnoo
 
Tulia mwamba.
Hujui serikali itakuwa inatumia pesa nyingi sana kulipa wastaafu?
Pia mchakato wa ajira pia una gharama zake pia. Kwani serikalini unadhani Kimboka kwamba ni uwanja wa kutolea ugwadu kila mtu anaweza kuingia?
 
Hahahaha πŸ˜‚ pole sana kumbe mnagombania keki wapumbavu wakubwa
Kwa hiyo mnasagia wenzenu kunguni nyie muingie mle keki aise ndiyo vijana wetu hawa??
Private hatuwataki vilaza kama nyie
Mtasota sanaa kwa mawazo haya lazima ulie
Wazee wa keki!!!!
 
Hahahaha πŸ˜‚ wanasema wanataka kwenda kula keki sio kufanya kazi yaan hawa vijana ni empty head
Ndiyo maana huku private hawa vilaza hatuwataki watatuibia tuu

Serikali kamatieni hapo hapo kuna watu wanataka kula keki bila kufanya kazi
Kama mnajeuri njoon private na hayo mawazo yenu
 
We jamaa bana unachukua ushauri wa yule boys wa wachokonozi unauleta huku
 
β€ŠKabla hujafikiria tustaafishwe kwa miaka 10, kaulize serikali kuna Sisi tunaotaka kustaafu kwa hiari, wako tayari kutupa viinua mgongo vyetu wote tusepe? Ndani ya hio miaka 10
 
Unataka kua watu wewe kwa presha,
 
Wanapishana choon au?
Kijana njoo private tule maisha huko serikalini mtauana bure kugombania ajira chache
Halafu mna mentality ya kula keki sio kufanya kazi
Mtasota sanaa na sasa hivi ni mwendo wa interview duuuh hatariiii mnoo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Niko provate mzee
 
Safi huku Private ni jitihada zako tuu
Nimewaachia vijana wagombanie hizo za serikali
Kama Uko private kelele za nini sasa.
We presha itakuua, hujajipanga kustaafu pesa yote ya mshahara umeila unategemea kiinua mgongo ndy kije kukuokoa dakika za jioni.

Vijana tunataka mabadiliko bana, tokeni mmezeeka bana taifa haliendelei kwaajili yenu, no creativity no productivity ni Kula mshahara tu kila siku CAG report zinatoa taarifa za uwizi na ubadhilifu hamchukuliwi hatua, mmetuhujumu mno.

It’s our turn now, mnapaswa muondoke tuanze mfumo mpya watu waajiriwe kwa mikataba angalau utendaji uwe unapimika na kutathmimika taifa angalau lipate maendeleo.

Sio wafanyakazi tu hata viongozi wa siasa tunapaswa kuwaajiri kwa mikataba sio wanashika nyazfa tu wanafanya vitu kwa mitazamo yao tu sisi kama taifa hatujui tunataka nimi tuko na hali gani na tunaelekea wapi.

It’s a right time tuchange, kama suala la katiba mpya ni kigugumizi basi hili la mikataba likawe mbadala.
 
Kwani ajira zinapatikanaje ? Kama ni zile za mfumo wa usaili, ataepata hata akifia kazini ni haki yake. Na wewe pambana ukiitwa kwenye usaili.
 
Shida ya wafanya kaz wengi i wa serikali, akisha ajiriwa tu basi anaona Kisha ingia kwenye vinono nikutafuta wapiga dili wenzake anaofanya kazi nao na kuunda genge la rushwa na ulaji mali ya umma. Acha kunyanyasa walipa Kodi hilo ndio halisemeki. Kwa hiyo ni muhimu wawe na mkataba wa miaka mitano mitano itategenea ufanisi wake kazini.
Kuhusu stahiki za kustaafu ataendelea na makato huko atakapo pata kazi sehemu ingine hata kwenye sekta binafsi au kama kajiajiri. Akifika miaka ya kisheria kustaafu atafanyiwa hesabu za malimbikizo yake miaka yote na kupewa stahiki zake kama mstaafu
Enzi za kazi za milele bila ufanisi zimeisha pitwa.
 
Superb fact. πŸ’ͺ🏼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…