Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Kama kweli basi kuna haja ya kureview upya policy za kuajiriTuungane tudai serikali ya Tanganyika, ili vya Tanganyika vibaki kuwa vya watanganyika tuu, bila hivyo wazanzibari wataendelea kutumbua na vya watanganyika kupitia huu muondo wa muungano wa serikali mbili wakati vya Zanzibar wakila wao pekeyao
Mtu wa asili ya "nchi" ya Zanzibar.Mzanzibari ndo nani wakuuu
Raia wa nchi ya ZanzibarMzanzibari ndo nani wakuuu
Yote hayo ni chokochoko za Muungano.
Tanganyika ni sawa na Palestina
Zanzibari sawa na Israel
Tanzania sawa na Marekani
Suala hili la Muungano Lina kizungumkuti kikubwa sana, ni mtu mwendawazimu tu ndiye ambaye anaweza kulielewa vizuri.Kumbuka lengo la muungano haikuwa ni kuimeza Zanzibar, japokuwa hapa ni kama Tanganyika ndio imemezwa. Watanganyika tumekuwa watanzania na wazanzibari wao wamebaki vile vile.
Hahaha asante kwa kuongea kwa adabu.....lengo haikuwa kuimeza zanzibar lakini Tanganyika imemezwa.Kumbuka lengo la muungano haikuwa ni kuimeza Zanzibar, japokuwa hapa ni kama Tanganyika ndio imemezwa. Watanganyika tumekuwa watanzania na wazanzibari wao wamebaki vile vile.
Zanzibar ndo Palestina, Tanganyika Israel 🤣Tanganyika ni sawa na Palestina
Zanzibari sawa na Israel
Tanzania sawa na Marekani
FafanuaTanganyika ni sawa na Palestina
Zanzibari sawa na Israel
Tanzania sawa na Marekani
Tumia lugha nzuriKila siku nasema huu muungano ni wa ki****e sana,, na hamnielewi,,
Kiuhalisia haipo hivyo.Hapana. Ni vice versa. Zanzibar sio nchi ni kama kamkoa ka morogoro tu.
Hiyo lugha nzuri ndiyo iliyotufikisha hapa,, ubaya ubwelaTumia lugha nzuri