Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ya baba wa taifa hayo.Kila mzanzibar ni mtanzania lakini kila mtanzania sio mzanzibar.
Mvatcan anaweza kuwa Muitaliano lakini huyo Muitaliano hawezi kuwa mvatcanIkiwa Wazanzibari wanaruhusiwa kuapply kazi za Tanganyika, na wengi tu wameajiriwa huku Tanganyika, ni kwa nini ajira za Zanzibar ziwekewe kigezo cha "Awe Mzanzibari"?
Mbona ajira za Tangayika zikitoka kigezo kinakuwa "Awe Mtanzania" (Haijalishi anatoka Tanganyika au Zanzibar).
Hii kitu usoni watu wanaweza wakawa wanacheka lakini mioyoni mwao hawaifurahii kabisa.
HII NI RACISM YA WAZI KABISA.
Ili nchi iweze kuwa moja na kuondoa racism, inabidi kuwepo na mchanganyiko wa pande zote 2, wa huku awe huru kwenda kule, na wa kule aje huku bila kuwepo ubaguzi wa aina yoyote ile.
Mbali na hapo, huu Muungano ni suala la muda tu, hautafikisha hata miaka 100 utavunjikia mbali.
View attachment 3070521
Ikiwa Wazanzibari wanaruhusiwa kuapply kazi za Tanganyika, na wengi tu wameajiriwa huku Tanganyika, ni kwa nini ajira za Zanzibar ziwekewe kigezo cha "Awe Mzanzibari"?
Mbona ajira za Tangayika zikitoka kigezo kinakuwa "Awe Mtanzania" (Haijalishi anatoka Tanganyika au Zanzibar).
Hii kitu usoni watu wanaweza wakawa wanacheka lakini mioyoni mwao hawaifurahii kabisa.
HII NI RACISM YA WAZI KABISA.
Ili nchi iweze kuwa moja na kuondoa racism, inabidi kuwepo na mchanganyiko wa pande zote 2, wa huku awe huru kwenda kule, na wa kule aje huku bila kuwepo ubaguzi wa aina yoyote ile.
Mbali na hapo, huu Muungano ni suala la muda tu, hautafikisha hata miaka 100 utavunjikia mbali.
Hawa jamaa ifike wakati waliopo Bara warudi kwao mambo mengine ni magumu kuvumiliaIkiwa Wazanzibari wanaruhusiwa kuapply kazi za Tanganyika, na wengi tu wameajiriwa huku Tanganyika, ni kwa nini ajira za Zanzibar ziwekewe kigezo cha "Awe Mzanzibari"?
Mbona ajira za Tangayika zikitoka kigezo kinakuwa "Awe Mtanzania" (Haijalishi anatoka Tanganyika au Zanzibar).
Hii kitu usoni watu wanaweza wakawa wanacheka lakini mioyoni mwao hawaifurahii kabisa.
HII NI RACISM YA WAZI KABISA.
Ili nchi iweze kuwa moja na kuondoa racism, inabidi kuwepo na mchanganyiko wa pande zote 2, wa huku awe huru kwenda kule, na wa kule aje huku bila kuwepo ubaguzi wa aina yoyote ile.
Mbali na hapo, huu Muungano ni suala la muda tu, hautafikisha hata miaka 100 utavunjikia mbali.
View attachment 3070521
Kwa hiyo ungeitwa kwenye interview ukaulekezwa uongee chochote kuhusu race mfano wako ungeumuisha race ya wazanzibari, na wazanzibara!Ikiwa Wazanzibari wanaruhusiwa kuapply kazi za Tanganyika, na wengi tu wameajiriwa huku Tanganyika, ni kwa nini ajira za Zanzibar ziwekewe kigezo cha "Awe Mzanzibari"?
Mbona ajira za Tangayika zikitoka kigezo kinakuwa "Awe Mtanzania" (Haijalishi anatoka Tanganyika au Zanzibar).
Hii kitu usoni watu wanaweza wakawa wanacheka lakini mioyoni mwao hawaifurahii kabisa.
HII NI RACISM YA WAZI KABISA.
Ili nchi iweze kuwa moja na kuondoa racism, inabidi kuwepo na mchanganyiko wa pande zote 2, wa huku awe huru kwenda kule, na wa kule aje huku bila kuwepo ubaguzi wa aina yoyote ile.
Mbali na hapo, huu Muungano ni suala la muda tu, hautafikisha hata miaka 100 utavunjikia mbali.
View attachment 3070521
Hawa mabapa wanapendelewa sana, halafu walioko serikalini huku bara wana viburi na dharau sana, wengi wapo pale Tamisemi.Ikiwa Wazanzibari wanaruhusiwa kuapply kazi za Tanganyika, na wengi tu wameajiriwa huku Tanganyika, ni kwa nini ajira za Zanzibar ziwekewe kigezo cha "Awe Mzanzibari"?
Mbona ajira za Tangayika zikitoka kigezo kinakuwa "Awe Mtanzania" (Haijalishi anatoka Tanganyika au Zanzibar).
Hii kitu usoni watu wanaweza wakawa wanacheka lakini mioyoni mwao hawaifurahii kabisa.
HII NI RACISM YA WAZI KABISA.
Ili nchi iweze kuwa moja na kuondoa racism, inabidi kuwepo na mchanganyiko wa pande zote 2, wa huku awe huru kwenda kule, na wa kule aje huku bila kuwepo ubaguzi wa aina yoyote ile.
Mbali na hapo, huu Muungano ni suala la muda tu, hautafikisha hata miaka 100 utavunjikia mbali.
View attachment 3070521
Zanzibar na Tanganyika ni km Hongkong na China MainlandIkiwa Wazanzibari wanaruhusiwa kuapply kazi za Tanganyika, na wengi tu wameajiriwa huku Tanganyika, ni kwa nini ajira za Zanzibar ziwekewe kigezo cha "Awe Mzanzibari"?