Wazanzibari ni wabinafsi na wanyonyaji. Wao wanapenda kuwepo na Muungano wa kuwanufaisha wao tu. Yaani Muungano wa changu changu, chako changu.

Halafu hawajisikii aibu eti!!
 
Ila zanzibar mmepewa hadhi ya juu ya kujitawala?
 
Zamani walikuwaga wanaandika awe na kitambulisho Cha mzanzibar mkaazi naona siku hizi wanakazia kabisa kwamba AWE MZANZIBAR maana yake hata ukiwa na kitambulisho Cha mkaazi ila sio mzanzibar hupati hiyo kazi.
 
mnatumia tu maneno bila kuelewa maana yake, inawezaje kuwa racism wakati sisi na hao unaowaita wanzanzibari ni the same race? >95% ya wakazi wa Zanzibar ni black people kama sisi, how can they be racist against wabara then wakati wote ni same race ?
Racism ni ubaguziwa rangi ndiyo, lakini mleta mada alimaanisha ubaguzi.
Msameheni bure, lakini mada yake ni konki.
 
Nyie hamuwezi kujitawala bila bara mtapiga kelele ila bila bara nyie is lolote si chochote
Unahisi mimi ni mzanzibari una matatizo wewe sio bure.

Na nani alikuambia Zanzibar haiwezi jitawala bila Tanganyika
 
Wazanzibar hawana mchezo linapokuja suala la maslahi ya Taifa lao na watu wao!
 
Kwa ajira ndogo ndogo ndio wanasema lazima uwe mzanzibari lkn kwenye zile za uongozi wa juu hakuna masharti
 
CORRECTION: Hakuna race ya Utanzania,Uzanzibar au Utanganyika neno sahihi ungetumia kiswahili rahisi tuu UBAGUZI
 
Shida siyo kuwa ajira chache swala ni kuwa tuna zungumzia mzani kubalance nwaz wote kutambulika kama watanzania .
Kwasababu ajira za tanganyika moja ya sifa ni mtanzania lkn ajira za zanzibar sifa ni uzanzibar ? Je unahisi mzani unakuwa balance hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…