Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
hahaha nilijiuliza swali kama lako mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu tupo wote kwenye mchakato wa ajira lakini naona kila kada unafuatilia je unaqualification za hizo kada zote? au upo tu intouch na habari za utumishi
Hahah hope jamaa atatujibu ni kutaka tu kufahamu maana ni mdau mwenzangu katika harakati hizi za utafutaji.hahaha nilijiuliza swali kama lako mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu tupo wote kwenye mchakato wa ajira lakini naona kila kada unafuatilia je unaqualification za hizo kada zote? au upo tu intouch na habari za utumishi
Umeenda law school?. Au unajimwambafai tu.Mimi Niko na taaluma zaidi ya 2 wakuu mbili nilisoma in OneTime nyingine pekee na mojawapo kati ya hizo ni Sheria na ndo naipenda sana wakuu.. Niombeeni niingie kwenye hizi Mahakama za Mwanzo niwagongee mihuri hivyo vyeti vyenu wakuu.
Erengo
fadhil mhando
worldboss
Hadi IT utamkutaHuyu shombe msomali kila kozi kasomea yeye? Mara yupo kwenye kilimo, mara uwanasheria, uhasibu n.k embu atuambie keo kasomea nini tunaweza msaidia
Naomba unioneshe wapi nilisema nimesoma IT au niliandika Uzi wa kuomba kazi IT..?Hadi IT utamkuta
Sasa hv Kuna kujimwambafai kwa vyeti au taaluma mkuu..?Umeenda law school?. Au unajimwambafai tu.
Afu mkuu ujue wewe ni mdau mwenzangu katika utafutaji wa ajira, mimi nilikuwa nakuzingua tu usichukiie serious.Naomba unioneshe wapi nilisema nimesoma IT au niliandika Uzi wa kuomba kazi IT..?
Kikubwa me napenda tu kusosholaiz na watu humu nikiona Kuna Ajira Fulani hata faculty isiyonihusu nai-release na najivisha uhusika lengo kuu ni ku-emphasis tu watu coz najua wasakatonge tuko kibao humu na ubaya hawafahamu lolote(Just imagine kuna mtu aliniface nimuelekeze ujazaji wa Ajira portal alafu hana hata namba za NIDA, unaona kabisa kuwa ni namna gani mtu Hana uelewa wa haya mambo, Sasa for now Ajira portal unaweza kucreate account bila NIN..?ππ yaan inafurahisha na kisikitisha pia. So Kuna watu wengi naona wanasumbuliwa namna ya kuset attachment kwenye AjiraPortal. hvyo tunawabebabeba coz si wengine tuko na uzoefu kwenye ujazaji taarifa kwenyeAjiraPortal.. That so tuko pamojah.πππAfu mkuu ujue wewe ni mdau mwenzangu katika utafutaji wa ajira, mimi nilikuwa nakuzingua tu usichukiie serious.
Sijawahi kuona ukiomba kazi ya IT, nakuonaga tu upo active kwenye issue za ajira za utumishi ambayo sio kitu kibaya, mimi pia nipo active kama wewe tofauti yetu wewe unaanzishaga uzi mimi ni mvivi wa kutype.
Samahani kama nimekukwaza.
Huwezi kuajiliwa serikalini kama hujapitia law school na kupata muhuri _advocate. Uliza ujue mengi utaonekana wa KujaSasa hv Kuna kujimwambafai kwa vyeti au taaluma mkuu..?
,, law Iko na level nying kuna cheti, Diploma, Shahada.. hapo niliwahi somea level moja,,, nini kinashangaza hapo au Kuna level ya kujimwambafai hapo....!!![emoji848][emoji848][emoji848]
oiii hivii hakuna thread ya NIDA kwel humu jamii maana kuna meng nataka niulizee wadau kama unaijua nambieeKikubwa me napenda tu kusosholaiz na watu humu nikiona Kuna Ajira Fulani hata faculty isiyonihusu nai-release na najivisha uhusika lengo kuu ni ku-emphasis tu watu coz najua wasakatonge tuko kibao humu na ubaya hawafahamu lolote(Just imagine kuna mtu aliniface nimuelekeze ujazaji wa Ajira portal alafu hana hata namba za NIDA, unaona kabisa kuwa ni namna gani mtu Hana uelewa wa haya mambo, Sasa for now Ajira portal unaweza kucreate account bila NIN..?[emoji2][emoji2] yaan inafurahisha na kisikitisha pia. So Kuna watu wengi naona wanasumbuliwa namna ya kuset attachment kwenye AjiraPortal. hvyo tunawabebabeba coz si wengine tuko na uzoefu kwenye ujazaji taarifa kwenyeAjiraPortal.. That so tuko pamojah.[emoji120][emoji120][emoji120]
Mm binafs nin swal Kama lako sheria na kilimo vip hapoMkuu tupo wote kwenye mchakato wa ajira lakini naona kila kada unafuatilia je unaqualification za hizo kada zote? au upo tu intouch na habari za utumishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu shombe msomali kila kozi kasomea yeye? Mara yupo kwenye kilimo, mara uwanasheria, uhasibu n.k embu atuambie keo kasomea nini tunaweza msaidia