Ajira za Kada ya Sheria

Ajira za Kada ya Sheria

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wadau katika hizi Ajira zilizoitangazwa na Serikali niliona Kuna Ajira za Sheria na Kilimo/Mifugo kama sikosei.

Ila mpaka Sasa hizo za sheria sijaona zinatangazwa.. sijajua hizo zingine za mifugo. Hivyo wadau zikitangazwa hizi za Sheria mnitaarifu mapema. Now naingia huko Chaka kufanya mavuno shambani.

Hizi za Afya na Ualimu deadline ya maombi inakaribia Ila hizi za SHERIA ni kimya sana
 
Mkuu tupo wote kwenye mchakato wa ajira lakini naona kila kada unafuatilia je unaqualification za hizo kada zote? au upo tu intouch na habari za utumishi
 
Mkuu tupo wote kwenye mchakato wa ajira lakini naona kila kada unafuatilia je unaqualification za hizo kada zote? au upo tu intouch na habari za utumishi
hahaha nilijiuliza swali kama lako mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyu shombe msomali kila kozi kasomea yeye? Mara yupo kwenye kilimo, mara uwanasheria, uhasibu n.k embu atuambie keo kasomea nini tunaweza msaidia
 
Mimi Niko na taaluma zaidi ya 2 wakuu mbili nilisoma in OneTime nyingine pekee na mojawapo kati ya hizo ni Sheria na ndo naipenda sana wakuu.. Niombeeni niingie kwenye hizi Mahakama za Mwanzo niwagongee mihuri hivyo vyeti vyenu wakuu.
Erengo
fadhil mhando
worldboss
 
Mkuu tupo wote kwenye mchakato wa ajira lakini naona kila kada unafuatilia je unaqualification za hizo kada zote? au upo tu intouch na habari za utumishi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeenda law school?. Au unajimwambafai tu.
Sasa hv Kuna kujimwambafai kwa vyeti au taaluma mkuu..?
,, law Iko na level nying kuna cheti, Diploma, Shahada.. hapo niliwahi somea level moja,,, nini kinashangaza hapo au Kuna level ya kujimwambafai hapo....!!!🤔🤔🤔
 
Naomba unioneshe wapi nilisema nimesoma IT au niliandika Uzi wa kuomba kazi IT..?
Afu mkuu ujue wewe ni mdau mwenzangu katika utafutaji wa ajira, mimi nilikuwa nakuzingua tu usichukiie serious.

Sijawahi kuona ukiomba kazi ya IT, nakuonaga tu upo active kwenye issue za ajira za utumishi ambayo sio kitu kibaya, mimi pia nipo active kama wewe tofauti yetu wewe unaanzishaga uzi mimi ni mvivi wa kutype.

Samahani kama nimekukwaza.
 
Kikubwa me napenda tu kusosholaiz na watu humu nikiona Kuna Ajira Fulani hata faculty isiyonihusu nai-release na najivisha uhusika lengo kuu ni ku-emphasis tu watu coz najua wasakatonge tuko kibao humu na ubaya hawafahamu lolote(Just imagine kuna mtu aliniface nimuelekeze ujazaji wa Ajira portal alafu hana hata namba za NIDA, unaona kabisa kuwa ni namna gani mtu Hana uelewa wa haya mambo, Sasa for now Ajira portal unaweza kucreate account bila NIN..?😃😃 yaan inafurahisha na kisikitisha pia. So Kuna watu wengi naona wanasumbuliwa namna ya kuset attachment kwenye AjiraPortal. hvyo tunawabebabeba coz si wengine tuko na uzoefu kwenye ujazaji taarifa kwenyeAjiraPortal.. That so tuko pamojah.🙏🙏🙏
 
Sasa hv Kuna kujimwambafai kwa vyeti au taaluma mkuu..?
,, law Iko na level nying kuna cheti, Diploma, Shahada.. hapo niliwahi somea level moja,,, nini kinashangaza hapo au Kuna level ya kujimwambafai hapo....!!![emoji848][emoji848][emoji848]
Huwezi kuajiliwa serikalini kama hujapitia law school na kupata muhuri _advocate. Uliza ujue mengi utaonekana wa Kuja
 
Kikubwa me napenda tu kusosholaiz na watu humu nikiona Kuna Ajira Fulani hata faculty isiyonihusu nai-release na najivisha uhusika lengo kuu ni ku-emphasis tu watu coz najua wasakatonge tuko kibao humu na ubaya hawafahamu lolote(Just imagine kuna mtu aliniface nimuelekeze ujazaji wa Ajira portal alafu hana hata namba za NIDA, unaona kabisa kuwa ni namna gani mtu Hana uelewa wa haya mambo, Sasa for now Ajira portal unaweza kucreate account bila NIN..?[emoji2][emoji2] yaan inafurahisha na kisikitisha pia. So Kuna watu wengi naona wanasumbuliwa namna ya kuset attachment kwenye AjiraPortal. hvyo tunawabebabeba coz si wengine tuko na uzoefu kwenye ujazaji taarifa kwenyeAjiraPortal.. That so tuko pamojah.[emoji120][emoji120][emoji120]
oiii hivii hakuna thread ya NIDA kwel humu jamii maana kuna meng nataka niulizee wadau kama unaijua nambiee
 
Mkuu tupo wote kwenye mchakato wa ajira lakini naona kila kada unafuatilia je unaqualification za hizo kada zote? au upo tu intouch na habari za utumishi
Mm binafs nin swal Kama lako sheria na kilimo vip hapo
 
Huyu shombe msomali kila kozi kasomea yeye? Mara yupo kwenye kilimo, mara uwanasheria, uhasibu n.k embu atuambie keo kasomea nini tunaweza msaidia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom