Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #141
Mnakaribia sana kuharibu SensaUkilijua hili na wewe jiunge UVCcm Ili upate vinginevyo utapiga miayo hadi ubabuke ngozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnakaribia sana kuharibu SensaUkilijua hili na wewe jiunge UVCcm Ili upate vinginevyo utapiga miayo hadi ubabuke ngozi.
Haiwezekani,ungekuwepo wewe ndio isingeharibika? 😁😁Mnakaribia sana kuharibu Sensa
EndeleeniHaiwezekani,ungekuwepo wewe ndio isingeharibika? [emoji16][emoji16]
Nyaraka ya CCM sio nyaraka ya serikali.Ni kosa kusambaza nyaraka za serikali bila idhini ikiwemo Siri
Kawa hesabu familia yako,ccm ni wapumbavu akili zenu na ubongo zimetenganaSuala la barua inayosambaza kuwa ni ya UVCCM Mbeya ni jambo la kutengenezwa ambalo halina uhalisia. Kimsingi barua ni fake ambayo imelenga kuibua hisia hasi za wananchi bila kujua malengo ya wapinzani wa serikali nini katika jambo ambalo lina maslahi mapana kwa nchi ambayo katika kipindi hiki cha awamu ya sita serikali imejipambanua kwa kuleta faida kwa wananchi bila kujali ubaguzi wa aina yoyote.
Niwasihi wananchi wenzangu kuacha kuingia kwenye mtego ambao hauna nia njema na nchi yetu kwani Rais Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN ndiye kiongozi Mkuu wa nchi ambaye msimamo wake unajulikana na amejipambanua kwa kutaka kuhakikisha Tanzania inakuwa ya watanzania wote bila kujali tofauti zetu.
Tujitokeze kuhesabiwa tusitolewe kwenye reli na watu wachache wasiolitakia mema taifa letu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kawa hesabu familia yako,ccm ni wapumbavu akili zenu na ubongo zimetenganaView attachment 2301666
Ukishauri hivyo,nasisi tusiokua na vyama unatuambiaje?ungamkono juhudi shauri yako mpaka mjukuu wako atakuja kuongozwa na CCM
Harafu mambo mengine kujitakia tuu kwaani na nyie hamuwezi kumuandikia barua mtendaji kata mkaambatanisha na hayo majina ya makamanda machachari walioomba?