Ajira za Maofisa wa Sensa ni kwa Koneksheni. UVCCM kupewa kipaumbele

Suala la barua inayosambaza kuwa ni ya UVCCM Mbeya ni jambo la kutengenezwa ambalo halina uhalisia. Kimsingi barua ni fake ambayo imelenga kuibua hisia hasi za wananchi bila kujua malengo ya wapinzani wa serikali nini katika jambo ambalo lina maslahi mapana kwa nchi ambayo katika kipindi hiki cha awamu ya sita serikali imejipambanua kwa kuleta faida kwa wananchi bila kujali ubaguzi wa aina yoyote.

Niwasihi wananchi wenzangu kuacha kuingia kwenye mtego ambao hauna nia njema na nchi yetu kwani Rais Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN ndiye kiongozi Mkuu wa nchi ambaye msimamo wake unajulikana na amejipambanua kwa kutaka kuhakikisha Tanzania inakuwa ya watanzania wote bila kujali tofauti zetu.

Tujitokeze kuhesabiwa tusitolewe kwenye reli na watu wachache wasiolitakia mema taifa letu.
njaa mtaani kweli ni kali. Dada unamendea recognition kwa kutaja watu wasio husika, hapo Samia anahusikaje?
 
Suala la barua inayosambaza kuwa ni ya UVCCM Mbeya ni jambo la kutengenezwa ambalo halina uhalisia. Kimsingi barua ni fake ambayo imelenga kuibua hisia hasi za wananchi bila kujua malengo ya wapinzani wa serikali nini katika jambo ambalo lina maslahi mapana kwa nchi ambayo katika kipindi hiki cha awamu ya sita serikali imejipambanua kwa kuleta faida kwa wananchi bila kujali ubaguzi wa aina yoyote.

Niwasihi wananchi wenzangu kuacha kuingia kwenye mtego ambao hauna nia njema na nchi yetu kwani Rais Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN ndiye kiongozi Mkuu wa nchi ambaye msimamo wake unajulikana na amejipambanua kwa kutaka kuhakikisha Tanzania inakuwa ya watanzania wote bila kujali tofauti zetu.

Tujitokeze kuhesabiwa tusitolewe kwenye reli na watu wachache wasiolitakia mema taifa letu.
Wewe unayekanusha ni kama nani?

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama ni fake ! Police ndo wathibitishe hilo kama signatures zilizomo katika Barua sio za Muhusika kisha tuanzie hapo😁
 
Eti jamani kuna tozo mpya ya mtu anapochukua hela yake bank iwe kwenye counter, ATM au Tiss.

Tozo ya miamala .

Kila muamala shilingi 4,000/ imagine [emoji848][emoji848]

Mbona ni mtihani mkubwa sana huo ?

Yani bank wenyewe wako wanakata shilingi 1,500/- wao wanakuja na asilimia 250% na zaidi [emoji24][emoji24]

Hivi Huyu Waziri wa fedha hata huruma hana na wananchi? [emoji24][emoji24]
 
Lengo ni nini hasa?

Kufanya wananchi waache kutumia huduma za kibank turudi kwenye ujima?

Mbona banks zinalipa kodi mbalimbali ikiwemo ya mapato?

Mbona wateja nao wanalipa kodi mbalimbali?

Yani unakata tozo kwenye huduma?

Inamaana watu waache kutumia huduma za kibank?
 
Samahani ndugu Mleta Mada huenda nimeingiza hoja ya tofauti yenyewe mnaweza ifungulia uzi wake peke yake tukajadili Kwa kina.

Huu ni mtihani mkubwa sana kwa wananchi.

Vitu vinapanda bei kila siku afadhali ya jana halafu na bado wanaongeza matozo chungu nzima katika kuchukulia wananchi vijisenti vyao!
 
UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI

(UVCCM) MBEYA MJINI

OPIS LAY YA KIMYA YA VIJANA WILAYA YA MBEYA MINIS.L.P.3240, SA 0754-699791

KUMB:NA.UVCCM/MIM/MK/BR/VOL.01

20/07/2022

AFISA MTENDAJI KATA,

SL.P. 149

RUANDA

MBEYA.

YAH: MAOMBI YA KUPOKEA MAJINA YA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM PENDEKEZWA KWENYE USAILI WA SENSA KATIKA KATA YAKO,

Husika na somo tajwa hapo juu,

Jumuiya ya umoja wa vijana ccm wilaya ya Mbeya mjini tunaomba upokee majina ya v walio omba na fasi ya Ajira ya muda ya Sensa ya watu na makazi kata yako.

Katika barua hii tume ambatanisha majina ya vijana waliomba nafasi hiyo Ni matumaini yetu kuwa maombi yetu yoto pokelewa.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

HUSSEIN A. KIMU

KATIBU VUANA CCM(W)

Nakala:

Katibu CCM WILAYA

S.L.P. 1240

MBEYA MJINI

Katibu wa UVCCM Mkoa

KATIBU-UVCCM WILAYA YA MBEYA MJINI
 
ungamkono juhudi shauri yako mpaka mjukuu wako atakuja kuongozwa na CCM
Harafu mambo mengine kujitakia tuu kwaani na nyie hamuwezi kumuandikia barua mtendaji kata mkaambatanisha na hayo majina ya makamanda machachari walioomba?
Umeandika ujinga.
 
Suala la barua inayosambaza kuwa ni ya UVCCM Mbeya ni jambo la kutengenezwa ambalo halina uhalisia. Kimsingi barua ni fake ambayo imelenga kuibua hisia hasi za wananchi bila kujua malengo ya wapinzani wa serikali nini katika jambo ambalo lina maslahi mapana kwa nchi ambayo katika kipindi hiki cha awamu ya sita serikali imejipambanua kwa kuleta faida kwa wananchi bila kujali ubaguzi wa aina yoyote.

Niwasihi wananchi wenzangu kuacha kuingia kwenye mtego ambao hauna nia njema na nchi yetu kwani Rais Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN ndiye kiongozi Mkuu wa nchi ambaye msimamo wake unajulikana na amejipambanua kwa kutaka kuhakikisha Tanzania inakuwa ya watanzania wote bila kujali tofauti zetu.

Tujitokeze kuhesabiwa tusitolewe kwenye reli na watu wachache wasiolitakia mema taifa letu.
Acha ujinga wewe! Feki ni wewe uliyejisajiri haraka kuja kuharisha hapa jukwaani kwa ngonjera zako!

Huyo Samia ndiye anayelea huu upuuzi!
 
UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI

(UVCCM) MBEYA MJINI

OPIS LAY YA KIMYA YA VIJANA WILAYA YA MBEYA MINIS.L.P.3240, SA 0754-699791

KUMB:NA.UVCCM/MIM/MK/BR/VOL.01

20/07/2022

AFISA MTENDAJI KATA,

SL.P. 149

RUANDA

MBEYA.

YAH: MAOMBI YA KUPOKEA MAJINA YA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM PENDEKEZWA KWENYE USAILI WA SENSA KATIKA KATA YAKO,

Husika na somo tajwa hapo juu,

Jumuiya ya umoja wa vijana ccm wilaya ya Mbeya mjini tunaomba upokee majina ya v walio omba na fasi ya Ajira ya muda ya Sensa ya watu na makazi kata yako.

Katika barua hii tume ambatanisha majina ya vijana waliomba nafasi hiyo Ni matumaini yetu kuwa maombi yetu yoto pokelewa.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

HUSSEIN A. KIMU

KATIBU VUANA CCM(W)

Nakala:

Katibu CCM WILAYA

S.L.P. 1240

MBEYA MJINI

Katibu wa UVCCM Mkoa

KATIBU-UVCCM WILAYA YA MBEYA MJINI
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom