Ajira za Maofisa wa Sensa ni kwa Koneksheni. UVCCM kupewa kipaumbele

Ajira za Maofisa wa Sensa ni kwa Koneksheni. UVCCM kupewa kipaumbele

Ikithibitika hivyo, basi hata taarifa itabidi wakakusanye za wana CCM tu,wao pekee ndo wahesabiwe makundi mengine hayatakuwa na time na zoezi. Kamishina wa sensa mama Anna Makinda angalia zoezi litakubumia.
....Kwa Ujinga huu, CCM watahesabiwa wenyewe!!!.....
 
Katika Hali isiyokuwa ya kawaida nchi ya Tanzania imeingia katika ubaguzi wa Ajira za muda mfupi ,huko mkoani mbeya na maeneo mengine ya nchi Hali imekuwa mbaya baada ya samia kutaka wanaoomba Ajira ya Sensa lazima wawe CCM ushahidi huu hapa
20220722_205810.jpg
20220722_205810.jpg
 
Je barua hiyo haiwezi kuwa imetengenezwa na watu wenye lengo la kuchafua chama na serikali yake?

Na Kama ni kweli Ina maana hao watu hawakufaulu katika orodha iliyotolewa na tume ya sensa taifa, sasa hata wakifaulu interview ya kata wataingiaje wakati hawapo kwenye system yaani data base ya sensa Taifa?
Huyo alieandika ni kilaza tu!!!
 
Back
Top Bottom