Ajira za Maofisa wa Sensa ni kwa Koneksheni. UVCCM kupewa kipaumbele

Ajira za Maofisa wa Sensa ni kwa Koneksheni. UVCCM kupewa kipaumbele

Majina hayaonekani mkuu
JamiiForums-512456666_606x642.jpg
 
Duuh , hii hatar....Inawezekanaje taarifa ya namna hyo ikafikishwa Kwa njia ya barua ,
Mbona ni kawaida sana ! hawa hata viongozi wao wa kata hawawezi kutumia hizo E mail wala internet ,hiki chama huko chini viongozi wake ni duni sana
 
Hiyo barua ni fojaringi tu ya uchonganishi hata hivyo ukiandika haisaidii kwani huwezi walazimisha wasaili kumpendekeza wanaomtaka kichama huu ni uhuni
 
Hii wikiendi ni ya vitu vizitoo tuhh kichwani
 
Na ukiona imepelekwa orodha jua hakipo kiambatishi chochote Kwa habar ya Qualifications.

Ni makanjanja matupu, uozo huo na vimemo ndo umesababisha Leo mtu aliyekuwa UVCCM kindakindaki kuwa WAZIRI wa Fedha.
Huyu hapa akiwa na Mkurugenzi wa zamani wa Tume ya Uchaguzi , Ramadhan Kailima

Watu%20wanatokea%20mbali%20sana!.jpg
 
Back
Top Bottom