Ajira za TAMISEMI

Ajira za TAMISEMI

1. Barua tuna andika kwa mkono au computer?

2. Barua inakuwa ya kiswahili au Kingereza?
Barua kawaida inatakiwa iandikwe kwa Mkono. Mwandiko wako ni sehemu ya usahili japo sio issue sana kwakuwa unaweza kuwa bright kichwani but mwandiko mbaya.

Kuhusu Lugha hapo fuata Lugha ya Tangazo.
Kwama Tangazo wameweka kwa Kiswahili Omba kazi kwa Kiswahili na kama wametangaza kwa kiingereza basi omba kwa lugha hiyo.

Ni hayo tu.
 
Aandike kwenye CV gani ?

Kumbe kuna watu wageni kabisa kwenye hizi applications halafu wanatoa ushauri kana kwamba wanajuwa sana haya mambo.

Mkuu hakuna sehemu ya kuweka CV usimchanganye atakuja kukuuliza CV hiyo aweke wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa sijui utamjibuje ?Kuandika kwenye barua hapo sawa. Ila sidhani kama wanasoma kila barua.
Huyo Jamaa ni Mjuaji..!!
 
Wahitimu wetu bado wana shida sana![emoji848]
Tena kubwa sana.
Wiki iliyopita kuna kampuni moja ikanipa tenda ya kuwatafutia watu 6 wawili kila field husika. Nimaweka kwenye ma group aisee watu walinitumia CV unaona kabisa wahitimu wetu bado ni shida sana.
 
Barua kawaida inatakiwa iandikwe kwa Mkono. Mwandiko wako ni sehemu ya usahili japo sio issue sana kwakuwa unaweza kuwa bright kichwani but mwandiko mbaya.

Kuhusu Lugha hapo fuata Lugha ya Tangazo.
Kwama Tangazo wameweka kwa Kiswahili Omba kazi kwa Kiswahili na kama wametangaza kwa kiingereza basi omba kwa lugha hiyo.

Ni hayo tu.
Asante sana.!
 
Tena kubwa sana.
Wiki iliyopita kuna kampuni moja ikanipa tenda ya kuwatafutia watu 6 wawili kila field husika. Nimaweka kwenye ma group aisee watu walinitumia CV unaona kabisa wahitimu wetu bado ni shida sana.
CV watu wana-copy na kupaste tu.. Juzi kuna mwalimu kanitumia CV yake sehemu ya Elimu imeandikwa BSc. Civil Engineering
 
Asante sana.!
Uzuri mie ni mzoefu sana wa mambo ya ajira na kutafuta kazi pia. Uandishi wa CV, Uvaaji siku ya Interview, uandishi wa barua. Kumbuka CV huandikwa kwa mujibu wa uzoefu.
Fuata maelekezo yangu hapo juu kuhusu kuchapa/kuandika na kuhusu Lugha.
 
Tena kubwa sana.
Wiki iliyopita kuna kampuni moja ikanipa tenda ya kuwatafutia watu 6 wawili kila field husika. Nimaweka kwenye ma group aisee watu walinitumia CV unaona kabisa wahitimu wetu bado ni shida sana.
Kipi unaona kinakukwamisha kuitwa kwenye interview kwa baadhi ya kazi unazoomba?

1. Connection huna...!?

2. CV/RESUME sio nzuri...!?

3. Working Experience yako ndogo/huna...!?

4. COVER LETTER yako sio nzuri...!?

5. Hujui kwanini unakosa hizo Chance...!?
 
Hivi wewe muda wote unawaza hizi ajira TAMISEMI uzi wa pili huu unafungua kuzingua watu unapata faida gani acha ushamba..!
 
CV watu wana-copy na kupaste tu.. Juzi kuna mwalimu kanitumia CV yake sehemu ya Elimu imeandikwa BSc. Civil Engineering
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda ni Civil Engineer ungemuhoji.

Mie mmoja alinitumia anadai ana miaka 32 na ameandika umri kwenye CV wakati mwaka wa kuzaliwa kaandika 1984. Just Imagine being him.
 
Hakuna umuhimu wa kuandika Miaka yako, Idadi ya watoto ulio nao, dini yako, sehemu uliyo zaliwa, kabila lako kwenye CV
 
Kipi unaona kinakukwamisha kuitwa kwenye interview kwa baadhi ya kazi unazoomba?

1. Connection huna...!?

2. CV/RESUME sio nzuri...!?

3. Working Experience yako ndogo/huna...!?

4. COVER LETTER yako sio nzuri...!?

5. Hujui kwanini unakosa hizo Chance...!?
Baada ya kuja kupata training ya namna ya kuandika CV na Cover Letter sijawahi kukosa kuitwa kwenye interview na nilipata kazi kirahisi sana.
Enzi hizo lakini sasa mie ni mkongwe.
 
Back
Top Bottom