DOMINGO THOMAS
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 365
- 365
- Thread starter
- #161
Hakuna sehemu ya kuweka CVKwenye system hamna sehemu ety ulijitolea, ila nashauri andika kwenye cv na barua kama job experience
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna sehemu ya kuweka CVKwenye system hamna sehemu ety ulijitolea, ila nashauri andika kwenye cv na barua kama job experience
Eeehe... Ikawaje...!?Baadhi hao walikuwa Wana bishana walipewa barua toka kwa mkurugenzi kuonesha walikuwa wanajitolea zilitoka Tamisemi
Mwisho wa kutuma maombi bado, na mmeanza kuuliza... Majina yatatoka lini😅Majina ya short list lini yatatoka
SawaMiaka 7 bila kuajiri na kutengeneza sekta binafsi mingi sana mkuu!Inabidi wafaje hivyo, kuna watu wengi mtaani
Barua kawaida inatakiwa iandikwe kwa Mkono. Mwandiko wako ni sehemu ya usahili japo sio issue sana kwakuwa unaweza kuwa bright kichwani but mwandiko mbaya.1. Barua tuna andika kwa mkono au computer?
2. Barua inakuwa ya kiswahili au Kingereza?
Huyo Jamaa ni Mjuaji..!!Aandike kwenye CV gani ?
Kumbe kuna watu wageni kabisa kwenye hizi applications halafu wanatoa ushauri kana kwamba wanajuwa sana haya mambo.
Mkuu hakuna sehemu ya kuweka CV usimchanganye atakuja kukuuliza CV hiyo aweke wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa sijui utamjibuje ?Kuandika kwenye barua hapo sawa. Ila sidhani kama wanasoma kila barua.
Sawamimi miaka yote huwa naandika kwa kisukuma.
Ushauri MzuriUtalishughulikia ukiajiriwa, miaka ya nyuma majina yalikua yakitumika mawili kwahiyo utaliweka sawa tu.
Tena kubwa sana.Wahitimu wetu bado wana shida sana![emoji848]
Asante sana.!Barua kawaida inatakiwa iandikwe kwa Mkono. Mwandiko wako ni sehemu ya usahili japo sio issue sana kwakuwa unaweza kuwa bright kichwani but mwandiko mbaya.
Kuhusu Lugha hapo fuata Lugha ya Tangazo.
Kwama Tangazo wameweka kwa Kiswahili Omba kazi kwa Kiswahili na kama wametangaza kwa kiingereza basi omba kwa lugha hiyo.
Ni hayo tu.
CV watu wana-copy na kupaste tu.. Juzi kuna mwalimu kanitumia CV yake sehemu ya Elimu imeandikwa BSc. Civil EngineeringTena kubwa sana.
Wiki iliyopita kuna kampuni moja ikanipa tenda ya kuwatafutia watu 6 wawili kila field husika. Nimaweka kwenye ma group aisee watu walinitumia CV unaona kabisa wahitimu wetu bado ni shida sana.
Uzuri mie ni mzoefu sana wa mambo ya ajira na kutafuta kazi pia. Uandishi wa CV, Uvaaji siku ya Interview, uandishi wa barua. Kumbuka CV huandikwa kwa mujibu wa uzoefu.Asante sana.!
Bc kwenye baruaHakuna sehemu ya kuweka CV
Kipi unaona kinakukwamisha kuitwa kwenye interview kwa baadhi ya kazi unazoomba?Tena kubwa sana.
Wiki iliyopita kuna kampuni moja ikanipa tenda ya kuwatafutia watu 6 wawili kila field husika. Nimaweka kwenye ma group aisee watu walinitumia CV unaona kabisa wahitimu wetu bado ni shida sana.
Barua inatakiwa iwe Short and Clear... But ni muhimu kuonesha Experience yako kwenye barua ya maombi.Bc kwenye barua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]CV watu wana-copy na kupaste tu.. Juzi kuna mwalimu kanitumia CV yake sehemu ya Elimu imeandikwa BSc. Civil Engineering
Hakuna umuhimu wa kuandika Miaka yako, Idadi ya watoto ulio nao, dini yako, sehemu uliyo zaliwa, kabila lako kwenye CV[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda ni Civil Engineer ungemuhoji.
Mie mmoja alinitumia anadai ana miaka 32 na ameandika umri kwenye CV wakati mwaka wa kuzaliwa kaandika 1984. Just Imagine being him.
Jibu hoja, Nitaweka uzi watatu.. Kuhusiana na hizi Ajira.Hivi wewe muda wote unawaza hizi ajira TAMISEMI uzi wa pili huu inafungua kuzingua watu unapata faida gani acha ushamba..!
Baada ya kuja kupata training ya namna ya kuandika CV na Cover Letter sijawahi kukosa kuitwa kwenye interview na nilipata kazi kirahisi sana.Kipi unaona kinakukwamisha kuitwa kwenye interview kwa baadhi ya kazi unazoomba?
1. Connection huna...!?
2. CV/RESUME sio nzuri...!?
3. Working Experience yako ndogo/huna...!?
4. COVER LETTER yako sio nzuri...!?
5. Hujui kwanini unakosa hizo Chance...!?