Ajira za ualimu na Afya

Ajira za ualimu na Afya

Sisi wenye connection tumeshajua hadi shule tulizopangiwa ,
Connection za ualimu nyingi ni za madalali tu so sio za uhakika sana ndo maana upigwaji ni mwingi sana. Naposema ni za madalali namaanisha si kawaida uwe na ndugu wa karibu Tamisemi afu asubiri hadi ajira za walimu kukupa connection iilihali kuna uwezekano wa michongo ya maana zaidi ya ualimu.
 
Habarini ndugu hakuna kipindi kigumu Kama hiki miaka 7 mtaani bila ajira kisaikolojia ni kipindi kigumu endapo watakosa tupeni ushauri jamaan [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kilio cha wengi mkuu. Mimi ni mwaka wa nane huu, na uwezekano wa kupata mwaka huu kwangu ni kama haupo kabisa kutokana na kutokuwa na masomo yanayohitajika. Nafikiria mwakani ambapo itakuwa imefika miaka tisa tangazo likifit kwenye masomo yangu huenda nami wakati wangu wa kupata ajira utafika.
 
Duh

Duh pole mkuu ungekua ushapanda madaraja hata mara 2 aisee tumchomee ubani kikwete apewe afya njema na allah
 
Shukrani sana mkuu. Wengi tuliomaliza 2015 walau tumezoea maumivu ya kukosa hizi nafasi, sasa imekuwa ni kama betting tu, unakosa muda mwingine ukifika unaendelea ulipoishia.
Dah kweli changamoto mkuu ukiangalia na pdf la mwaka Jana kiukweli linakatisha tamaa watoto wa 2021 walivyokomba ajira kama zote Huku wakongwe wakiendelea kukipata Cha mtema Kuni.
Na mwaka huu pia tangazo limewatema mapema baadhi ya wakongwe yaani ni full mastress kiukweli
 
Maisha bhan dah

Kuna demu nilizaa nae mtoto ni mwalimu wa phy na chem now yupo kwenye NGOs huko Kasulu anavuta mkwanjwa mara 8 ya salary ya teacher wa TAMISEMI

Nilimuombea hizi ajira akijua ni utani sasa yupo anaomba AKOSE [emoji3] alafu muda huo huo kuna mdau ana miaka 8 humu na masomo yake hayapo kwenye hizo nafasi[emoji21][emoji21]

Poleni saana Wanangu MSIO NA KAZI HAKIKA IPO SIKU YENU ITAFIKA
SOMETIME TUNAKOSA KAZI SABABU YA DHAMIRA ZETU MOYONI IMAGINE MTU ANAWAZA AKIPATA KAZI ATAWATIA SAANA WANAFUNZI
 
Connection za ualimu nyingi ni za madalali tu so sio za uhakika sana ndo maana upigwaji ni mwingi sana. Naposema ni za madalali namaanisha si kawaida uwe na ndugu wa karibu Tamisemi afu asubiri hadi ajira za walimu kukupa connection iilihali kuna uwezekano wa michongo ya maana zaidi ya ualimu.
Hapo umenena kiongozi
 
M
Kilio cha wengi mkuu. Mimi ni mwaka wa nane huu, na uwezekano wa kupata mwaka huu kwangu ni kama haupo kabisa kutokana na kutokuwa na masomo yanayohitajika. Nafikiria mwakani ambapo itakuwa imefika miaka tisa tangazo likifit kwenye masomo yangu huenda nami wakati wangu wa kupata ajira utafika.
Mungu atusaidie kwakweli
 
Maisha bhan dah

Kuna demu nilizaa nae mtoto ni mwalimu wa phy na chem now yupo kwenye NGOs huko Kasulu anavuta mkwanjwa mara 8 ya salary ya teacher wa TAMISEMI

Nilimuombea hizi ajira akijua ni utani sasa yupo anaomba AKOSE [emoji3] alafu muda huo huo kuna mdau ana miaka 8 humu na masomo yake hayapo kwenye hizo nafasi[emoji21][emoji21]

Poleni saana Wanangu MSIO NA KAZI HAKIKA IPO SIKU YENU ITAFIKA
SOMETIME TUNAKOSA KAZI SABABU YA DHAMIRA ZETU MOYONI IMAGINE MTU ANAWAZA AKIPATA KAZI ATAWATIA SAANA WANAFUNZI
We Jamaa bana
 
Back
Top Bottom