Simba wa teranga
Member
- Aug 5, 2017
- 37
- 23
🔨🔨🔨🔨🔨Sisi wenye connection tumeshajua hadi shule tulizopangiwa ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🔨🔨🔨🔨🔨Sisi wenye connection tumeshajua hadi shule tulizopangiwa ,
mnaongea tu aise, toka 18 tupo bench na tuna mathematicsKama kuna walimu ni lulu hapa nchini ni walimu wa mathematics na physics asee ukiniambia upo mtaani na umesomea hayo masomo nitakushangaa
mnaongea tu aise, toka 18 tupo bench na tuna mathematicsKama kuna walimu ni lulu hapa nchini ni walimu wa mathematics na physics asee ukiniambia upo mtaani na umesomea hayo masomo nitakushangaa
Mathematics na Geography Mkuu!??mnaongea tu aise, toka 18 tupo bench na tuna mathematics
Connection za ualimu nyingi ni za madalali tu so sio za uhakika sana ndo maana upigwaji ni mwingi sana. Naposema ni za madalali namaanisha si kawaida uwe na ndugu wa karibu Tamisemi afu asubiri hadi ajira za walimu kukupa connection iilihali kuna uwezekano wa michongo ya maana zaidi ya ualimu.Sisi wenye connection tumeshajua hadi shule tulizopangiwa ,
Kilio cha wengi mkuu. Mimi ni mwaka wa nane huu, na uwezekano wa kupata mwaka huu kwangu ni kama haupo kabisa kutokana na kutokuwa na masomo yanayohitajika. Nafikiria mwakani ambapo itakuwa imefika miaka tisa tangazo likifit kwenye masomo yangu huenda nami wakati wangu wa kupata ajira utafika.Habarini ndugu hakuna kipindi kigumu Kama hiki miaka 7 mtaani bila ajira kisaikolojia ni kipindi kigumu endapo watakosa tupeni ushauri jamaan [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Duh pole mkuu ungekua ushapanda madaraja hata mara 2 aisee tumchomee ubani kikwete apewe afya njema na allahKilio cha wengi mkuu. Mimi ni mwaka wa nane huu, na uwezekano wa kupata mwaka huu kwangu ni kama haupo kabisa kutokana na kutokuwa na masomo yanayohitajika. Nafikiria mwakani ambapo itakuwa imefika miaka tisa tangazo likifit kwenye masomo yangu huenda nami wakati wangu wa kupata ajira utafika.
Shukrani sana mkuu. Wengi tuliomaliza 2015 walau tumezoea maumivu ya kukosa hizi nafasi, sasa imekuwa ni kama betting tu, unakosa muda mwingine ukifika unaendelea ulipoishia.Duh
Duh pole mkuu ungekua ushapanda madaraja hata mara 2 aisee tumchomee ubani kikwete apewe afya njema na allah
Dah kweli changamoto mkuu ukiangalia na pdf la mwaka Jana kiukweli linakatisha tamaa watoto wa 2021 walivyokomba ajira kama zote Huku wakongwe wakiendelea kukipata Cha mtema Kuni.Shukrani sana mkuu. Wengi tuliomaliza 2015 walau tumezoea maumivu ya kukosa hizi nafasi, sasa imekuwa ni kama betting tu, unakosa muda mwingine ukifika unaendelea ulipoishia.
ishangae serikali tupo nao wengi na kila ajira zikitoka wanaomba , hapa nilipo wapo kama wanne hviKama kuna walimu ni lulu hapa nchini ni walimu wa mathematics na physics asee ukiniambia upo mtaani na umesomea hayo masomo nitakushangaa
Wewe ni senior jobless kabisa2016 imekuwa muda
Mathematics na computer studiesMathematics na Geography Mkuu!??
Hapo umenena kiongoziConnection za ualimu nyingi ni za madalali tu so sio za uhakika sana ndo maana upigwaji ni mwingi sana. Naposema ni za madalali namaanisha si kawaida uwe na ndugu wa karibu Tamisemi afu asubiri hadi ajira za walimu kukupa connection iilihali kuna uwezekano wa michongo ya maana zaidi ya ualimu.
Mungu atusaidie kwakweliKilio cha wengi mkuu. Mimi ni mwaka wa nane huu, na uwezekano wa kupata mwaka huu kwangu ni kama haupo kabisa kutokana na kutokuwa na masomo yanayohitajika. Nafikiria mwakani ambapo itakuwa imefika miaka tisa tangazo likifit kwenye masomo yangu huenda nami wakati wangu wa kupata ajira utafika.
We Jamaa banaMaisha bhan dah
Kuna demu nilizaa nae mtoto ni mwalimu wa phy na chem now yupo kwenye NGOs huko Kasulu anavuta mkwanjwa mara 8 ya salary ya teacher wa TAMISEMI
Nilimuombea hizi ajira akijua ni utani sasa yupo anaomba AKOSE [emoji3] alafu muda huo huo kuna mdau ana miaka 8 humu na masomo yake hayapo kwenye hizo nafasi[emoji21][emoji21]
Poleni saana Wanangu MSIO NA KAZI HAKIKA IPO SIKU YENU ITAFIKA
SOMETIME TUNAKOSA KAZI SABABU YA DHAMIRA ZETU MOYONI IMAGINE MTU ANAWAZA AKIPATA KAZI ATAWATIA SAANA WANAFUNZI
Hao hawakosi ajira kabisaa,??Kama kuna walimu ni lulu hapa nchini ni walimu wa mathematics na physics asee ukiniambia upo mtaani na umesomea hayo masomo nitakushangaa
Na mie nimemuuliza hapo.mnaongea tu aise, toka 18 tupo bench na tuna mathematics