Hata wewe mwenyewe umekosea pia grammatically ilibidi iwe you are a kid...sio kama ulivyoandika..seriously and honestly Sekomu ni chuo gani? Kipo wapi etc etc..maana sijawahi kukisikia kwa kweli sio kama nadiss au whatever..ukinijuza nitashukuru sana...
mwana ndanda mwaka gani ucje kuwa ndugu yangu ww.mi nlikua pale form 6 mwaka 2008
Hata wewe mwenyewe umekosea pia grammatically ilibidi iwe you are a kid...sio kama ulivyoandika..seriously and honestly Sekomu ni chuo gani? Kipo wapi etc etc..maana sijawahi kukisikia kwa kweli sio kama nadiss au whatever..ukinijuza nitashukuru sana...
Hebu tufahamishane basi sekoku ndio nini,kabla hatujaanza kulinganisha na udsm home of intellectuals usije kukuta ni chuo cha diploma kama vile mpwapwa ttc.
kwa sababu mimi ninavyojua huwezi kufanya comparison kwa vitu ambavyo havina the same characteristics,mfano mzuri huwezi kulinganisha elimu inayotolewa udsm,na elimu inayotolewa na vyuo vingine kama sekoku.
mtoa mada wanafunzi wana kazi kubwa huko unakoenda yani hata siku ya kujitambulisha utasema.mimi nimegraduate pale sekoku,wanfunzi wengi huko mashuleni wanajua vyuo ni UDSM,MZUMBE,SUA,MUHAS,bila shaka hata wewe ulipenda sana kusoma hivyo vyuo ila sasa matokeo yako ya form six yaligoma na bila shaka ulipa 3points 16.
Achana na hizo theory or whatever point ya msingi umesahau au ume overlook on that so dont bring theories on that besides natumia grammar ya primary tu...hiyo ambayo ni common man's understanding..Over..Hata Mimi sijui...
Unajua x bar theory?
Isome vizuri na generative grammar halafu uje tena..
Achana na hizo theory or whatever point ya msingi umesahau au ume overlook on that so dont bring theories on that besides natumia grammar ya primary tu...hiyo ambayo ni common man's understanding..Over..
mwambie huyo jamaa,pia hata sijamwelewa.kwani waalimu huwa wanapangiwa kutoka udsm au mzumbe tu.si wote huwa wanapangiwa au mi ndo sijamwelewayou'r kid ...!
Hope umetoka teku
jifariji tuu
angalizo
naomba masters yako ukasome huko huko usije udsm, mzumbe, sua, ardhi... !
Quantity surveyor
Mkuu utachekwa mchana kweupee lugha ya malkia ukijifanya mjuaji utaumia...
article ' a' ni definite au indefinite?
Inatumika wapi? Unapomwambia mtu moja kwa moja inakuaje?
Soma mfano huu mtu amwambiaye rafikiye maneno haya then useme lipi sahihi...
1. You are stupid!
1.1 you are a stupid!!
2. You are imbecilic
2.2 you are a imbecilic
3. You are child
3.3 you are a child....
Sema yapi sahihi ili wenzio wakuone live maana ubishi mwingine hauna tija...
Mi naamini kwamba ualimu ni ualimu tu hata kama uwe umesomea Cambridge. Maana siku huku mtaani huwa hatuulizi chuo gani bali tunajua tu wewe ni mwalimu uliyekimbia majukumu ya kusoma kozi za maana kwa kuhofia mkopo na ajira.
nifuate nn ud, naenda zangu saut, au udom nachukua msc.in physics kiulain
we kama linguistic wenzio ma-enginier
communication skills wanapita as additional tena first semister year 1
matter unaweza ku-deliver na sio kukaririii (enginier's principle)
......!
hope wewe ni mwalimu unayekariri
badilikaa lugha inakua sio unagandaa hapo hapo na claim zakooooo
We nimeamini ni mtoto ...
Haiwezekani graduate wa chuo ukashindwa kuandika misamiati very common kama hiyo..
Ha ha ha unachekesha hebu soma marekebisho siku nyingine ukawatambie vizuri watoto wenzio huko vijiweni...
"Enginier" = Engineer...
"Semister" = semester
"Enginier's" = Engineer's
Halafu mtu sio linguistic ni Linguist......
Hapo kwenye ***claim zako** ni kosa ungesema hivi Claims zako*****
Hivi kwa hali hii tu unaelimu ya kutosha kweli au unapondaga watu kwakuwa una wivu?
Siamini na sikubali kijana wa chuo unaetamba hujui kuandika hayo maneno common kwa level yako...
You are too low...
Very poor in thinking and weak in reasoning....
Imbecilic!!!!!!
CC: Excel Dinazarde. Jerrymsigwa et al
ameandika akiwa usingizini mkuu
Ha ha ha
Umeamini kua mnaobishanaga nao hata lecture room hawajui ikoje?

elimu ya sasa ni tofauti na zamani! sasa ivi spelling check inafanywa na simu au kompyuta..kuna mda wa kukariri uandikaji? walimu tuna kazi sana ila tu vile salary ndogo bora liende tu