Ajira za Walimu wapya ngoma droo hakuna cha UDSM wala SEKOMU

Status
Not open for further replies.
Hata wewe mwenyewe umekosea pia grammatically ilibidi iwe you are a kid...sio kama ulivyoandika..seriously and honestly Sekomu ni chuo gani? Kipo wapi etc etc..maana sijawahi kukisikia kwa kweli sio kama nadiss au whatever..ukinijuza nitashukuru sana...

Hata Mimi sijui...

Unajua x bar theory?
Isome vizuri na generative grammar halafu uje tena..
 
acha uvivu wewe mtu, google nadhani utakuwa ndio msaada kwako wa kujua mambo na vitu.
 
Hebu tufahamishane basi sekoku ndio nini,kabla hatujaanza kulinganisha na udsm home of intellectuals usije kukuta ni chuo cha diploma kama vile mpwapwa ttc.
kwa sababu mimi ninavyojua huwezi kufanya comparison kwa vitu ambavyo havina the same characteristics,mfano mzuri huwezi kulinganisha elimu inayotolewa udsm,na elimu inayotolewa na vyuo vingine kama sekoku.
mtoa mada wanafunzi wana kazi kubwa huko unakoenda yani hata siku ya kujitambulisha utasema.mimi nimegraduate pale sekoku,wanfunzi wengi huko mashuleni wanajua vyuo ni UDSM,MZUMBE,SUA,MUHAS,bila shaka hata wewe ulipenda sana kusoma hivyo vyuo ila sasa matokeo yako ya form six yaligoma na bila shaka ulipa 3points 16.

Hizo kelele tu mishahara ni ileile.
 
Hata Mimi sijui...

Unajua x bar theory?
Isome vizuri na generative grammar halafu uje tena..
Achana na hizo theory or whatever point ya msingi umesahau au ume overlook on that so dont bring theories on that besides natumia grammar ya primary tu...hiyo ambayo ni common man's understanding..Over..
 
Mkuu utachekwa mchana kweupee lugha ya malkia ukijifanya mjuaji utaumia...

article ' a' ni definite au indefinite?

Inatumika wapi? Unapomwambia mtu moja kwa moja inakuaje?

Soma mfano huu mtu amwambiaye rafikiye maneno haya then useme lipi sahihi...

1. You are stupid!
1.1 you are a stupid!!

2. You are imbecilic
2.2 you are a imbecilic

3. You are child
3.3 you are a child....
Sema yapi sahihi ili wenzio wakuone live maana ubishi mwingine hauna tija...
 
you'r kid ...!
Hope umetoka teku
jifariji tuu

angalizo
naomba masters yako ukasome huko huko usije udsm, mzumbe, sua, ardhi... !

Quantity surveyor
mwambie huyo jamaa,pia hata sijamwelewa.kwani waalimu huwa wanapangiwa kutoka udsm au mzumbe tu.si wote huwa wanapangiwa au mi ndo sijamwelewa
 
Mi naamini kwamba ualimu ni ualimu tu hata kama uwe umesomea Cambridge. Maana siku huku mtaani huwa hatuulizi chuo gani bali tunajua tu wewe ni mwalimu uliyekimbia majukumu ya kusoma kozi za maana kwa kuhofia mkopo na ajira.
 
Mkuu utachekwa mchana kweupee lugha ya malkia ukijifanya mjuaji utaumia...

article ' a' ni definite au indefinite?

Inatumika wapi? Unapomwambia mtu moja kwa moja inakuaje?

Soma mfano huu mtu amwambiaye rafikiye maneno haya then useme lipi sahihi...

1. You are stupid!
1.1 you are a stupid!!

2. You are imbecilic
2.2 you are a imbecilic

3. You are child
3.3 you are a child....
Sema yapi sahihi ili wenzio wakuone live maana ubishi mwingine hauna tija...

we kama linguistic wenzio ma-enginier
communication skills wanapita as additional tena first semister year 1

matter unaweza ku-deliver na sio kukaririii (enginier's principle)
......!

hope wewe ni mwalimu unayekariri
badilikaa lugha inakua sio unagandaa hapo hapo na claim zakooooo
 
Mi naamini kwamba ualimu ni ualimu tu hata kama uwe umesomea Cambridge. Maana siku huku mtaani huwa hatuulizi chuo gani bali tunajua tu wewe ni mwalimu uliyekimbia majukumu ya kusoma kozi za maana kwa kuhofia mkopo na ajira.

haahaahaahaaaaahaaa
 
we kama linguistic wenzio ma-enginier
communication skills wanapita as additional tena first semister year 1

matter unaweza ku-deliver na sio kukaririii (enginier's principle)
......!

hope wewe ni mwalimu unayekariri
badilikaa lugha inakua sio unagandaa hapo hapo na claim zakooooo

We nimeamini ni mtoto ...

Haiwezekani graduate wa chuo ukashindwa kuandika misamiati very common kama hiyo..

Ha ha ha unachekesha hebu soma marekebisho siku nyingine ukawatambie vizuri watoto wenzio huko vijiweni...

"Enginier" = Engineer...

"Semister" = semester

"Enginier's" = Engineer's
Halafu mtu sio linguistic ni Linguist......

Hapo kwenye ***claim zako** ni kosa ungesema hivi Claims zako*****

Hivi kwa hali hii tu unaelimu ya kutosha kweli au unapondaga watu kwakuwa una wivu?

Siamini na sikubali kijana wa chuo unaetamba hujui kuandika hayo maneno common kwa level yako...

You are too low...
Very poor in thinking and weak in reasoning....

Imbecilic!!!!!!

CC: Excel Dinazarde. Jerrymsigwa et al
 
Last edited by a moderator:

ameandika akiwa usingizini mkuu
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha

Umeamini kua mnaobishanaga nao hata lecture room hawajui ikoje?

elimu ya sasa ni tofauti na zamani! sasa ivi spelling check inafanywa na simu au kompyuta..kuna mda wa kukariri uandikaji? walimu tuna kazi sana ila tu vile salary ndogo bora liende tu
 
We nimeamini ni mtoto ...

Haiwezekani graduate wa chuo ukashindwa kuandika misamiati very common kama hiyo..

Ha ha ha unachekesha hebu soma marekebisho siku nyingine ukawatambie vizuri watoto wenzio huko vijiweni...

"Enginier" = Engineer...

"Semister" = semester

"Enginier's" = Engineer's
Halafu mtu sio linguistic ni Linguist......

Hapo kwenye ***claim zako** ni kosa ungesema hivi Claims zako*****

Hivi kwa hali hii tu unaelimu ya kutosha kweli au unapondaga watu kwakuwa una wivu?

Siamini na sikubali kijana wa chuo unaetamba hujui kuandika hayo maneno common kwa level yako...

You are too low...
Very poor in thinking and weak in reasoning....

Imbecilic!!!!!!

CC: Excel Dinazarde. Jerrymsigwa et al

hope umeelewa secretary
 
Last edited by a moderator:
elimu ya sasa ni tofauti na zamani! sasa ivi spelling check inafanywa na simu au kompyuta..kuna mda wa kukariri uandikaji? walimu tuna kazi sana ila tu vile salary ndogo bora liende tu

Huyo jamaa namuonaga mda mrefu humu anakosea kila siku na nikiangalia reasoning yake ni very poor sasa hapo mtu ndo unapogundua wanaponda ualimu kumbe hawana wajualo ni kama wale ndugu zetu wa kule kujifanya wajua kiingereza kumbe chakavu na ungrammatical ....

Kazi ipo...
 
We nimeamini ni mtoto ...

Haiwezekani graduate wa chuo ukashindwa kuandika misamiati very common kama hiyo..

Ha ha ha unachekesha hebu soma marekebisho siku nyingine ukawatambie vizuri watoto wenzio huko vijiweni...

"Enginier" = Engineer...

"Semister" = semester

"Enginier's" = Engineer's
Halafu mtu sio linguistic ni Linguist......

Hapo kwenye ***claim zako** ni kosa ungesema hivi Claims zako*****

Hivi kwa hali hii tu unaelimu ya kutosha kweli au unapondaga watu kwakuwa una wivu?

Siamini na sikubali kijana wa chuo unaetamba hujui kuandika hayo maneno common kwa level yako...

You are too low...
Very poor in thinking and weak in reasoning....

Imbecilic!!!!!!

CC: Excel Dinazarde. Jerrymsigwa et al

kweli we ni kubwa jinga thinking capacity na resoning inapimwa kwa spelling au kwa kujua English grammatically

jaribu kujenga hoja na sio kujifanya unajuaa ------- wewe
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom