Ajira zimemwagwa kila kona jamani mama amesikia vilio vya vijana kuliko yule jamaa aliyejigamba kuwa rais wa wanaontingwa.

Ajira zimemwagwa kila kona jamani mama amesikia vilio vya vijana kuliko yule jamaa aliyejigamba kuwa rais wa wanaontingwa.

sasa wewe ni bodaboda au unatembeza bidhaa au umepanga bidhaa barabarani ukiumwa unaweza kupata mtu wa kukushikia biashara yako au wateja wanaweza kuvumilia hadi urudi??
Kule juu ni kama tumezungumza lugha moja lakini hapa, nimegundua huna taarifa za kutosha kwenye tasnia hii haya ya umachinga.

Asubuhi njema.
 
Back
Top Bottom