Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Alikua na vyeti fekiUna matatizo yoyote na Magufuli ? Magufuli alikukosea nini kikubwa haswa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikua na vyeti fekiUna matatizo yoyote na Magufuli ? Magufuli alikukosea nini kikubwa haswa ?
Mkuu umeamka na pombe kichwani nini?Seriksli imemwaga ajira kila pahala na kila sector. Huku sector binfsi sasa usiseme.
Kule juu ni kama tumezungumza lugha moja lakini hapa, nimegundua huna taarifa za kutosha kwenye tasnia hii haya ya umachinga.sasa wewe ni bodaboda au unatembeza bidhaa au umepanga bidhaa barabarani ukiumwa unaweza kupata mtu wa kukushikia biashara yako au wateja wanaweza kuvumilia hadi urudi??