Akatwa nyeti zake na mkewe baada ya kushindwa kutimiza ahadi ya kumlipa 5000 baada ya mshindo kwenye tendo la ndoa

Picha iliyoambatanishwa sio ya tukio hili. Ni tukio la Shinyanga afande kukatwa nyeti na mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sakasaka Mao
Samahani mkuu kwa kuleta taharuki, picha hapo juu ni kwa tukio lile la Shinyanga.... ya Kanda Maalumu imegoma kupanda.
 
Hahaha james delicious
 
Akatwa nyeti zake na mkewe baada ya kushindwa kutimiza ahadi ya kumlipa 5000 baada ya mshindo kwenye tendo la ndoa

Heading yasema mkewe, ndani habari yasema vingine kabisa
 
Nakumbuka kuna kisa cha jamaa anaeitwa Bobito huko USA alikatwa yote na mke wake na kuitupa dirishani kutoka gorofani
Msaria mwema akaiona na kujiongeza kuibeba na kuipeleka duka la 24/7 na kuihifadhi kwenye fridge na kupiga Simu police na Ambulance
Ambulance ilipokuja walimbeba jamaa na mzigo wake
Ilichukua doctors 6 kwa masaa 9 kuunganisha kila mshipa

Baada ya kupona alialikwa na Oprah kwenye show na kusimulia na kuomba kama kuna mwanamke anamtaka aongozane nae


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mwanamke lenyewe baya hivyo unapataje ujasiri wa kuligonga au tatizo pombe hawa ndugu zangu wa mining huwa wanna ushamba flani na wahudumu wa bar Bora nidili na Malaya sio baamaid huwa hawana stress balaa za kuachwa na ma ex wao hata wakimuhoji huo ujasiri uliupata wapi kiss ni mama wa kikurya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…