Akaunti ya Facebook ya Alfred Mutua, Waziri wa Ajira Kenya imejaa post za nafasi za kazi kwa Wakenya nje. Pitia ya Riziwani ujionee

We mjinya sio kucopy hizo ni specific kwa Kenya ni juhudi zao,Vipi nafasi za kazi walizo pewa na Ujerumani au Uingereza?

Punguza ujinga mkuu,
 
SIkiliza we mjinga, kuna nafasi za kenya hadi Ujerumani imewapatia, kaa hapo mnasifia ujinga ilihaki nchi imejaaa kubebabana watu wasio kuwa na uwezo ndio wanao pewa vyeo.
 
View attachment 3179827
Bahamas wanaenda fanya kazi, sisi tuendelee na mijadala ya Mbowe na Lisu kutwa nzima humu, tunakwa mno
Hivi haiwezekani tukatunga sheria ya kucreminilise uchawa wafanye kazi ? Maana hawa watu kila kukicha wanawaza jinsi ya kumsifia na kumfurahisha mama Samia kuliko hata kufanya kazi, ni fix uwongo uwongo na propaganda zisizo na msaada kwa wananchi, hizi ndio Vidrama vyenyewe alivyoviiita mama Samia.
 

Sio kiokoteza matangazo ya kazi, hizo ni jitihada za serikali ya Kenya, na nchi huimsika,Nyie endeleeni kusifia hadi mavi
 
Ni rahisi sana kucheza na akili zetu, majority ya Wakenya huko are not buying into Mutua's cheap politics na wanamponda vibaya sana na hizo kazi nyingi anazopost wanasema ni za hovyo. Ila huku kwetu angekuwa ni shujaa na genius 😁


Sio majority, sema wale walio shiba, wale wenye kazi zao na sasa wanafanya siasa.
 
Yes angalia Profile zao,
 
Bora kazi za hovyo au kushinda njaaa? hao aanao moanda ni wale wenye kazi zao, kulipwa milion moja kwa mwezi Tsh ni kazi za hovyo? kwani hapo Kenya hakuna kazi za hovyo? wahindi wanalipa pesa ngapi wafanya kazi wao?
Fuatilia vizuri kinachoendelea huko Kenya na hizo 'fursa', kulipwa 1 milion Tsh inaweza kuwa sawa na 10,000 Tsh au 100,000 Tsh kutegemea na uchumi wa nchi unayofanyia kazi. Ishu ni kumsifia Waziri kutangaza fursa ambazo anajua anawapelekea vijana kumenyeka kisawa sawa.
za Mutua
 
sikiliza hizo ni kazi za muda mfupi sio proffesional job, vipi za Ujerumani? Uchawa unawasumbua sana nyie
 
We mjinya sio kucopy hizo ni specific kwa Kenya ni juhudi zao,Vipi nafasi za kazi walizo pewa na Ujerumani au Uingereza?

Punguza ujinga mkuu,
Sina shida na argument yako, unahoja za kuchunguzwa ukweli wake, kuhusu makubaliano ya ujerumani na Kenya kwenye fursa za kazi.

Una hoja pia kuhusu serikalini kubebana, hata mimi nimeongelea Ridhiwani kuwa nepo/baby.

Shida ni merit ya accusation za mada. Kwa sababu kuna vigezo vya waziri wa kazi ku-post ujinga alipost huyo waziri wa Kenya. Huwezi mlaumu Ridhiwani kutofanya upuuzi bila ya kujua sababu za waziri wa Kenya.

Badala ya kunitukana kwa hoja nilizoanndika kutokana na mada husika. Unaenda introduce mambo mapya ambayo sio msingi wa mada.

Bilateral employment agreement ya Kenya/Germany inahusika vipi na hii mada?
 
Rizimoko unamuonea tu. Wa kwetu wanachaguliwa ili wakapumzike baada ya kufanya yao kwenye mambo ya election
 
Kwani huko kwa Warabu hakuna Agreement? au nikuwekee hapa? kote huko had8 Bahamas ni Agrements ndio zipo, Ngoja nikuwekee hapa za Waarabu
 
View attachment 3179965
Sio kiokoteza matangazo ya kazi, hizo ni jitihada za serikali ya Kenya, na nchi huimsika,Nyie endeleeni kusifia hadi mavi
Uwe na akili ya kudadavua mambo.

Umeona hapo kuna labour deal, maana yake ni exclusive to Kenya.

Sasa hapo uoni kama ki serikali kuna mambo mengi including wizara ya mambo ya nje ku-secure agreement kama hizo.

Hiyo point yako inauhusiano gani na topic ya hii mada?

Aarghh
 
Kenya ni mojawapo ya Nchi Zenye mass unemployment hapa Africa.

Tanzania ni mojawapo ya Nchi ambazo watu wake Wana Ajira Kwa Wingi na Wala hawataki kukimbia Nchi.

Kenya inafukuzia wafanyakazi wakati Tanzania inaajiri maelfu ya wafanyakazi Kila mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…